Tahadhari kwa wale wote waliopata vyuo....

Tahadhari kwa wale wote waliopata vyuo....

mtoto wa kunyumba

Senior Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
114
Reaction score
12
TCU bado haijatoe official statement kwahiyo msishangae ukakuta umepangiwa chuo kingine au coarse nyingine...nimetoa hii tahadhari sababu watu hamkawii kusema tCU wanadanganya uma....ok!kila la heri katika kungojea official result from TCU
 
ww ki2 ndo kile kile hakiwez kuchange hata cku 1 m nimeona kabisa chuo nilchopangiwa na course ile nlichagua hawawez kuchange labda useme wasubir wasiojuwa wamepangiwa wap ila mm udsm
 
acha porojo wewe kitu admitted to ........ ,nilikiona live afu wabadilishe tena ,ambao hawajaona imekula kwao wasubili kutozwa za vocha.
 
kuna jamaa yngu katoka kusaini loanboard wamesema majina yameshapelekwa kwny bodi ya mikopo kwaiyo k2 n kile kle

ila da na mm likozi nililoliona kwangu,moyo wote puu! sikulichagua mm hilo,but likitoka ivo nakomaa nalo tu kwasababu nalo linalipa
 
Kitu ni kile kile ndugu,kalaga baho.Sana sana tu usubirie kutozwa jero na Airtel.
 
Kitu udom na nimechagua mwenyewe so sidhani kama watabadilisha
 
Hapo hawezekani tena mambo kubadilika maana iliyotoa ni system computerised si ujiulize jina nimeona tcu na chuoni limetokea [ITA] alafu useme kuna kubadilika tena noooo!!! sasa swali vyuo vilivyotoa majina vimepata wapi km sio toka tcu
 
mimi udom moja Bcom accounting hakuna changes hapa tunasubir tu official statement tuanze michakato ya kulipa tuition fee
 
Hata mwaka jana ilikuwa hivyo.Selection za UDSM zilivuja na zilikuwa zenyewe kabisa maana watu waliprove kuwa ni zile zile za mwanzo.Kuhusu kozi kubadilika hiyo haitawezekana labda kama wangeandika kama mwanzo"wait for the official approval".Wewe kama hujui,subiri tu hiyo official announcement japo najua inakuuma sana kuikosa siri nzito na tamu from TCU!
 
Af nyio wa2 ambao mmechaguliwa vyuo vibaya acheni kujipa moyo wabadilishe ili iweje!! Kama uko ualimu hautaki kauze genge huko

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
nmependa hiyo kk,xo wa tz 2jpnge coz kua nyuma kiuchumi kwa miaka takriban 172 c mchezo......
 
Back
Top Bottom