Tahadhari kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na elimu ya juu, wanaotaka kuahisha mwaka wa masomo

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
1,419
Reaction score
804
Tukiangalia taratibu katika elimu yetu zinazidi kubadilika. tumeshuhudia mwaka huu waliochaguliwa cirtificate (diploma ya kawaida, kwa upande wa education) walikua ni wale wenye ufaulu wa daraja la kwanza hadi la tatu. pia waliochaguliwa kujiunga diploma za juu, walikua ni wale wenye 2 principal passes.
kuna mdogoangu alipata principal pass moja mwaka jana, 2013. akapata kiburi cha kutoomba chuo cha diploma mwaka huo. mwaka huu kashindwa kuomba diploma ya juu kwa kukosa vigeo.
Tusishangae kuona kitabu cha tcu cha mwakani (2015/2016) kuonyesha kua kigezo cha kuchaguliwa kujiunga na elimu ya juu ni 3 principal passes.
sasa wale wenye 2 principal passes ambao wamepata nafasi mwaka huu wakae macho, huenda mwakani wasiwe na vigezo.
NAWASILISHA!
 

shukrani kwa tahadhri hio. kuna mdogo anampango wa kuahirisha mwaka wa masomo bila sababu maalum, ngoja nikamkomalie isije kula kwake!
 
shukrani kwa tahadhri hio. kuna mdogo anampango wa kuahirisha mwaka wa masomo bila sababu maalum, ngoja nikamkomalie isije kula kwake!

mpe taarifa isije kula kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…