ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Tukiangalia taratibu katika elimu yetu zinazidi kubadilika. tumeshuhudia mwaka huu waliochaguliwa cirtificate (diploma ya kawaida, kwa upande wa education) walikua ni wale wenye ufaulu wa daraja la kwanza hadi la tatu. pia waliochaguliwa kujiunga diploma za juu, walikua ni wale wenye 2 principal passes.
kuna mdogoangu alipata principal pass moja mwaka jana, 2013. akapata kiburi cha kutoomba chuo cha diploma mwaka huo. mwaka huu kashindwa kuomba diploma ya juu kwa kukosa vigeo.
Tusishangae kuona kitabu cha tcu cha mwakani (2015/2016) kuonyesha kua kigezo cha kuchaguliwa kujiunga na elimu ya juu ni 3 principal passes.
sasa wale wenye 2 principal passes ambao wamepata nafasi mwaka huu wakae macho, huenda mwakani wasiwe na vigezo.
NAWASILISHA!