Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Sawa sawa hata wenzio walikuwa kama wewe leo hii imebaki historia.Barakoa si dawa ya Corona. Tumeishi kwa zaidi ya miezi 10 bila hizo barakoa na Mungu yupo pamoja nasi.
Corona haitibiki kwa kuvaa barakoa.
Unategemea kuwa hai kwa miaka mingapi? Kuna maradhi zaidi ya 1000 duniani na yote yanaua.Sawa sawa hata wenzio walikuwa kama wewe leo hii imebaki historia.
Mkuu Mbao Za Mawe, ni kweli barakoa si dawa ya covid lakini si ni njia mojawapo ya kinga? na mleta uzi kazungumzia kinga si dawaBarakoa si dawa ya Corona. Tumeishi kwa zaidi ya miezi 10 bila hizo barakoa na Mungu yupo pamoja nasi.
Corona haitibiki kwa kuvaa barakoa.
Juzi Brazil walirekodi visa vya vifo 3000 ndani ya masaa 24. Kati ya Brazil na Tanzania ni taifa lipi limepuuzia Corona?Mkuu Mbao Za Mawe, ni kweli barakoa si dawa ya covid lakini si ni njia mojawapo ya kinga? na mleta uzi kazungumzia kinga si dawa
Haya mkuu nimekupata.Juzi Brazil walirekodi visa vya vifo 3000 ndani ya masaa 24. Kati ya Brazil na Tanzania ni taifa lipi limepuuzia Corona?
acha kufuatilia watu we kama unavaa, vaaNatazama umati uliofurika hapa uwanja wa Chato msibani naona ni 5% tu ndio wamevaa barakoa..hata..
watangazaji wa TBC Sam mahela na mwenzake hawana barakoa na wanazunguka kuongea na wananchi mbalimbali wakitumia mic hiyo hiyo moja..
Corona s ugonjwa wa kujikinga kwa kuvaa barakoa tu. Ukitaka ujikinge na Corona tafuta kisiwa nenda uishi pekee yako. Idadi kubwa ya watu nchini wameugua Corona na wengine wanaishi nayo bila kujua.Haya mkuu nimekupata.
Sitegemei kuwa hai zaidi ya miaka 70 ijayo,lakini habari gani nisichukue tahadhali kwa kitu ambacho ikiwa kitanipata kitaniondolea uhai kwa masaa machache yajayo,ndoto zote za maisha yangu nani atazitimiza?wanangu wadogo nani atawalea?elimu yangu na mahangaiko yangu ya utafutaji yatanifaidisha nini?wazazi, ndugu na jamaa watafurahia kifo changu?.Unategemea kuwa hai kwa miaka mingapi? Kuna maradhi zaidi ya 1000 duniani na yote yanaua.
Unajua ni kwa jinsi gani Malaria inateketeza ulimwengu au kwa vile vifo vya Malaria havirekodiwi?
Nashukuru umeandika andiko refu kidogo kuonesha msisitizo ila sitoungana nawe kamwe na hili la Corona wala si ujanja wa barakoa. Mataifa makubwa dunia yamekuwa wahanga wa huu ugonjwa zaidi ya mataifa masikini ambayo raia wake lazima watoke ili kupata riziki.Sitegemei kuwa hai zaidi ya miaka 70 ijayo,lakini habari gani nisichukue tahadhali kwa kitu ambacho ikiwa kitanipata kitaniondolea uhai kwa masaa machache yajayo,ndoto zote za maisha yangu nani atazitimiza?wanangu wadogo nani atawalea?elimu yangu na mahangaiko yangu ya utafutaji yatanifaidisha lini?wazazi, ndugu na jamaa watafurahia kifo changu?...
Shida mnapenda sana kujilinganisha,unaijua population ya Brazil?inalingana na hapa kwetu umefahamu kuwa juzi wamekufa 3000 kwa sababu ya uwazi wao katika kutoa taarifa kwa usahihi.Juzi Brazil walirekodi visa vya vifo 3000 ndani ya masaa 24. Kati ya Brazil na Tanzania ni taifa lipi limepuuzia Corona?
Tangu Corona ianze kurindima kwenye ukoo au eneo lako umepoteza watu wangapi. Nijibu nikuulize swali la msingi.Shida mnapenda sana kujilinganisha,unaijua population ya Brazil?inalingana na hapa kwenu?umefahamu kuwa juzi wamekufa 3000 kwa sababu ya uwazi wao katika kutoa taarifa kwa usahihi?Hapa nchini mara ya mwisho kutoa taarifa juu ya Corona ilikuwa lini?ni kweli kuwa watu hawafi?una ushahidi gani ikiwa watu hawafi,huo ugonjwa unaoua kila siku ukapewa jina MATATIZO YA KUPUMUA ni upi?.Askofu aliyetoka hadharani na kudai kuwa wamepoteza zaidi ya mapadiri na masister 75 kwa Corona ni muongo?.
Mkuu acha fikra hizi,yaani Afrika iliyojaa watu wenye Kisukari, Typhoid, Malaria,Utapia mlo,Surua,Kichocho,Ebola,Dengue,Polio,unyafuvi, Ukimwi, Kansa, Magonjwa ya figo na Ini, Tb, Safura, kaswende, Kisonono, Uti, kipindupindi, ushirikina, ujinga, umaskini na mengine mengi,watu wake wawe na strong immunity system kuliko wa nchi zilizoendelea kabisa?umewaza au umeandika tu?.Nashukuru umeandika andiko refu kidogo kuonesha msisitizo ila sitoungana nawe kamwe na hili la Corona wala si ujanja wa barakoa. Mataifa makubwa dunia yamekuwa wahanga wa huu ugonjwa zaidi ya mataifa masikini ambayo raia wake lazima watoke ili kupata riziki....
Honestly speaking watu wangu wa karibu ni zaidi ya sita,watatu wahudumu wa afya!!.Tangu Corona ianze kurindima kwenye ukoo au eneo lako umepoteza watu wangapi. Nijibu nikuulize swali la msingi.
Hujaelewa kwa sababu nawe una ugonjwa wa kisonono huo unaotesa Waafrika. Lifestyle ya Waafrika ni tofauti kabisa na wazungu naomba ujue hilo.Mkuu acha fikra hizi,yaani Afrika iliyojaa watu wenye Kisukari, Typhoid, Malaria,Utapia mlo,Surua,Kichocho,Ebola,Dengue,Polio,unyafuvi, Ukimwi,Kansa,Magonjwa ya figo na Ini,Tb,Safura,kaswende,Kisonono,Uti,kipindupindi,ushirikina,ujinga, umaskini na mengine mengi,watu wake wawe na strong immunity system kuliko wa nchi zilizoendelea kabisa?umewaza au umeandika tu?.
Kwahiyo unapenda uone kila eneo limetapakaa maiti za wafu wa Corona? Tusilazimishe kufa kwa Corona tuache mkono na Mungu uonekane juu yetu pia.Honestly speaking watu wangu wa karibu ni zaidi ya sita,watatu wahudumu wa afya!!.
Si umesikia kuna wimbi la tatu, hicho ndiyo kinaenda kutokeaNatazama umati uliofurika hapa uwanja wa Chato msibani naona ni 5% tu ndio wamevaa barakoa hata...
Ni kweli tumeishi nayo zaidi ya meizi kumi lakini watu nao wamekufa wengi tuBarakoa si dawa ya Corona. Tumeishi kwa zaidi ya miezi 10 bila hizo barakoa na Mungu yupo pamoja nasi.
Corona haitibiki kwa kuvaa barakoa.
Kwahiyo unapenda uone kila eneo limetapakaa maiti za wafu wa Corona? Tusilazimishe kufa kwa Corona tuache mkono na Mungu uonekane juu yetu pia.
Wengi ni wangapi?Ni kweli tumeishi nayo zaidi ya meizi kumi lakini watu nao wamekufa wengi tu