Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
vijana mnaokuja moshi kuweni makini sana kwani mji huu kuna vibaka wengi sana ,ukija moshi usipende kutembea usiku peke yako unaweza ukakabwa,mimi mwenyewe nimewahi kukabwa marambili na wahuni nikanyan,ganywa pesa na simu ni ushauri tu wakuu
hawakukupiga panga ya kichwa ,maana mchizi wangu hukohuko anasoma mwuce alilambwa panga ya kichwa tena mbele ya dem wake.
Hatari sana huo ukanda.