Tahadhari kwa wanaokuja moshi

Tahadhari kwa wanaokuja moshi

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
vijana mnaokuja moshi kuweni makini sana kwani mji huu kuna vibaka wengi sana ,ukija moshi usipende kutembea usiku peke yako unaweza ukakabwa,mimi mwenyewe nimewahi kukabwa marambili na wahuni nikanyan,ganywa pesa na simu ni ushauri tu wakuu
 
hawakukupiga Panga ya kichwa ,maana mchizi wangu hukohuko anasoma MWUCE alilambwa panga ya kichwa tena mbele ya dem wake.
Hatari sana huo ukanda.
 
Nashukuru sana ngoja niwaambie wapendwa wangu wasijenipigia hubby panga la uso
 
vijana mnaokuja moshi kuweni makini sana kwani mji huu kuna vibaka wengi sana ,ukija moshi usipende kutembea usiku peke yako unaweza ukakabwa,mimi mwenyewe nimewahi kukabwa marambili na wahuni nikanyan,ganywa pesa na simu ni ushauri tu wakuu

Acha kutuharibia kazi zetu wewe.
 
Back
Top Bottom