dah kweli ndo maana mafisadi hawishi bongo kwahiyo weye umeamua kusamehe wakati vielelezo vyote muhimu unavyo chukua hiyo barua ya internaship na na vielezo vyengine kama risiti uliyolipia bank nenda police kulipoti utapeli kwani uzuri wake huyu mtu si ana akaunti hapa bongo watafuatilia...usipende kurahiaisha mambo
Kaka asante sana, umeigundua imekaa kisomi zaidi kwa tamaa za watanzania walio wengi hasa wale
wanaopenda kwenda nje, hapa lazima wanase..tuwe makini jamani.