cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Pole sana ndugu, ila kama siku nyingine usitume pesa kwa mtu usiyemfahamu.
dah kweli ndo maana mafisadi hawishi bongo kwahiyo weye umeamua kusamehe wakati vielelezo vyote muhimu unavyo chukua hiyo barua ya internaship na na vielezo vyengine kama risiti uliyolipia bank nenda police kulipoti utapeli kwani uzuri wake huyu mtu si ana akaunti hapa bongo watafuatilia...usipende kurahiaisha mambo