Tahadhari kwa wanaotafuta kazi

Tahadhari kwa wanaotafuta kazi

Teresia Mahimbi

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
271
Reaction score
91
Kwa wale wanaotafuta ajira hasa gradutes naomba mjihadhari na Tapeli huyu anaejiita Lilian Kisanga..Alitoa tangazo la Internship kwenye blog moja maarufu ,watu wakatuma CV lakini response zake zimekaaa kitapeli tapeli..so wadau muwe waangalifu..Hapa naambatanisha email yake aliyonitumia:

Habari,

Ninayofuraha kukufahamisha kuwa ombi lako la kufanya kazi na Mercycorps Nicaragua(Central America) limekubaliwa,nimeambatanisha barua ya kukubaliwa ambayo utasaini panapohusika na kuirudisha kwetu.
Kwa mujibu wa sheria za immigration hapa Nicaragua,NGO inatakiwa kukuombea Visa/work permit ili uweze kuja hapa kuanza kazi,kwa sasa hakuna ubalozi wa Nicaragua hapo Tanzania.
Kama ambavyo nilikutaarifu hapo awali unatakiwa kutuma malipo kwa ajili ya kuprocess Visa/Work permit yako mapema kama ambavyo barua ya kukubaliwa kazi inavyojieleza ili kutoa muda mzuri kwa NGO kuprocess kwa wakati ambapo itachukua siku 4 za kazi kupata kibali hicho cha Visa/Work permit.
Sasa katika kurahisisha utumaji wa malipo hayo Management imeomba kutumia account ya mfanyakazi ambaye yeye ana account ambayo ni International Account ambayo benki yake pia inapatikana hapo nchini Tanzania,hii ni kwa sababu ya kurahisisha na kuondoa gharama za utumaji na ucheleweshaji wa kupata malipo kwa wakati.
Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kubadili hiyo dola $197 kuwa Tanzania shillings ambayo ni sawa na Tsh.315,200/- ,harafu utadeposit hiyo Tsh.315,200/- kwenye account ifuatayo;
Tafadhali nakuomba uscan na unitumie payslip/Deposit slip baada ya kufanya malipo kwa Sababu Management itaihitaji kwa sababu za kiofisi,

Bank Name: Stanbic Bank
Account Name: Jacob E.E
Account Number:
0140518946701
Visa Card Number: 4313321007132065

Regards
Lilian Kisanga
Project Manager
Mercycorps
Nicaragua

Hii information iende polisi mapema na wote tushirikiane kuyatia nguvuni matapeli makubwa yanayochukuwa nafasi wakati wa shida za ajira.
 
Hataaaa, kama unatumia akili vizuri huwezi ingia katika mtego huu, labda uwe na kiherehere na ushindwe kutumia common sense
 
Hii information iende polisi mapema na wote tushirikiane kuyatia nguvuni matapeli makubwa yanayochukuwa nafasi wakati wa shida za ajira.

hapa ameingia choo cha kike,hakujua andil na wanasheria..ndo mana nimetoa tahadhar kwa job seekers wawe waangalifu na mijitu ya aina hii
 
atiwe nguvuni huu ushahidi unatosha kabisa,police wamtafute mwenye ac.hiyo ya Stanbic.
 
wengi wataingia line kwa kuwa tuna tabia ya kuwaamini sana wanawake, naye ametumia jina la kike ili awadake.natanguliza pole sana mtakaodakwa.

    • :mod:

mmmh ila mijitu ya hivi lazima wawekwe kizuizini ukute hata sio mwanamke ni mwanaume huyo duuuu,,,,,,,,asante kaka
 
jamaa achukuliwe hatua uyo ***** sana uyo
 
  • lo!Mungu atusaidie nililiona tangazo nikastuka mapema.
 
mama yangu kwahiyo laki tatu zangu nimepigwa...atalaaniwa huyu **** kanidanganya nasubiria leo siku ya tatu..huu mchongo niliupata michuzi dah alaaniwe..wakuu nashukuru ila ndo hivyo kipigo kishanitembelea
 
Pole sana ndugu, ila kama siku nyingine usitume pesa kwa mtu usiyemfahamu.
 
Back
Top Bottom