Tahadhari kwa wanawake walioolewa

Take note tumeangalia one side of the coin.... Nakuachia akina Nyumba Kubwa, Nemo na Mwanajamii1 they do have a point.

AshaDii, you are very right kuwa sometimes tunajisahau wanawake mf.
- Tunapowaachia hawa mabinti wetu mpaka kukutandikia kitanda, kukufulia nguo za ndani, mashuka mpaka kile kitambaa cha dhahabu! Unajua kama ni binti mwenye matamanio anawezafanya lolote kwa nguo hizo za ndani (Kwa wale wanaoamini mambo haya)
Kujisahau hata kuwa na muda wa 'faragha' na mwandani wako n.k
But bado haimpi Baba justification ya kutembea na binti!!
 
kina dada, solution ni kuajiri watu wazima tu sasa..
inaelekea vibinti vinawatia majaribuni waume zenu, khaaa!
 

Ubarikiwe dada yangu..... lakini kumbuka kwamba kila akili na tafsiri yake........... tatizo ni kwamba tunajitahidi sana kupingana na ukweli.......... hata hivyo yawezekana wewe bado una ka-ugeni hapa jf, kwa taarifa yako jambo hili limeshajadiliwa sana humu, mimi sio mtu wa kwanza. tatizo hili lipo sana tu na`hata wale tunaowaita watumishi wa mungu wamewahi kukumbwa na hicho wanachoita shetani na hadi kufikia kuwamimbisha hao ma house girl............
shukuru mungu kama unaye mume mwenye utambuzi kama mimi..........................
 
kina dada, solution ni kuajiri watu wazima tu sasa..
inaelekea vibinti vinawatia majaribuni waume zenu, khaaa!

Mbu believe me sweetheart..hata hawa hawatopona kamwe................as long as they have that door! na kwa maelezo ya Mtambuzi ..............akifanya kazi zaidi yangu mke!!
 
Hizo za kutandikiwa kitanda sote tunakubali ni kasoro na uvivu wa mtu by nature na si majukumu kumzidia; Lakini ninaowajua wanaowafanyisha kazi mahouse girl wao kimtindo huo waume zao wala hawana time na mahousegirl.

Hawa wanaotembea na ma housegilr hawa wake zao wengine ni ma house wife na wanafanya most of the jobs; ni tabia tu waache visingizio.

Hakuna relationship kati ya housegirl kufanya kazi nyingi na mume kumtamani; hiyo hata kwa fimbo nitaendelea kupinga.

Kwa reasoning ipi? Kumtamani ni kumuonea huruma kwamba ukisha do nae kazi anazofanya zitapungua? Au ni asante kwa kazi anazokufanyia? Kwa reasoning gani haswa???


 

we nawe.......... saa nyingine wajitia hamnazo kweli................ AshaDii kanisaidia kujibu kwa ufasaha kabisa................
 


Mwanaume kama mumeo hana jusification yoyote ka kulala na mwanamke mwingine period!!! HAKUNA. Na wanaume wametofautiana in reactions towards binti wa kazi, kuna mwanamke mwingine waweza jiachia mpaka basi, yaaani house gal hadi anagusa chupi za mumeo na bado asi-thubutu kulala nae. However inabidi tukubali kua what makes people kulalana sometimes ni mazoea dhidi ya wahusika, kama matunzo ya mume (ambayo ni basic na home related) yanakamilishwa na binti labda kwa 80% na wewe mwana mama ambae ndo mke kwa lets say 20% possibility ya mwanaume kutembea na huyo biniti ni kubwa.

Kama nilivosema post ya kwanza mwanamke anaweza akawa amechangia saana tu, lakini sio lazima kua yeye ndiio anakua amesababisha, lah hasha.
 
Bora useme wewe mwanaume labda wenzio watakuelewa.

House girl? To be honestly kwangu ni ngumu sana ladba sijui ajipambe vipi Kumzidi Mke wangu but House Girl and My Wife ni Viwango viwili tofauti kabisa
 
we nawe.......... saa nyingine wajitia hamnazo kweli................ AshaDii kanisaidia kujibu kwa ufasaha kabisa................


Mtambuzi umeniagusha na you have dissapointed me.... Mwanajamiione ni moja ya wadada ambao wanamchango na mawazo ya hali ya juu saana hasa katika mahusiano na hapa MMU... What are you trying to do? Inakua kama vile umeshindwa argue point ya MJ1 Sasa watumia "attack" technique....
 
Reactions: Mbu
House girl? To be honestly kwangu ni ngumu sana ladba sijui ajipambe vipi Kumzidi Mke wangu but House Girl and My Wife ni Viwango viwili tofauti kabisa

"labda?".... dahhh! macho yakiona moyo utatamani ee?
mimi nadhani tatizo sio housegirl, tatizo ni cheating....!
it's all about opportunity, kama mbuzi alavyo kwa urefu wa kamba yake.
 
Bora useme wewe mwanaume labda wenzio watakuelewa.

Angalizo: Msiwaachie wajirembe kuwazidi ninyi , msiwaachie wafanye majukumu ambayo hayawahusu wao, Mambo ya house girl anatandika kitanda siyo Mazuri jamani
 

Mtambuzi
Just because jambo lilishawahi kujadiliwa hapa, doesnt make your reasoning any more valid than not! For instance I can buy into Bishanga's premise " House girl ni wanawake kama wengine", because Generally kama mumeo ni mchafu, then any woman's hole can do, so ..........................,!But validating mume kulala na house help kisa mkewe hajaenda kuchota na kumtengea maji ya kuoga or house girl hajaruhusiwa kwenda kulala na bwana wake Im sorry to say this, but that is ridiculously stup**!!!!
 
Mbu believe me sweetheart..hata hawa hawatopona kamwe................as long as they have that door! na kwa maelezo ya Mtambuzi ..............akifanya kazi zaidi yangu mke!!

mwanangu nilikuwa nawazungumzia wanaume wenye maudhaifu hayo lakini sio wote....................... kama mimi baba yako.......akha! siko hivyo kabisaaa, muulize mama ngina atakwambia ukweli mtupu.............
haki ya mungu vile nakuapia` wallahi...................
 
kina dada, solution ni kuajiri watu wazima tu sasa..
inaelekea vibinti vinawatia majaribuni waume zenu, khaaa!



Mie niseme ukweli kabisa... kwa Mpenzi wangu nipo possessive, simuachi na binti mdogo awe mdogo wangu/binamu/house gal eti amhudumie kila kitu. Labda hio safari is not more than one week na ni dharura, otherwise namtafuta house boy. House gal tutaishi nae namimi nipo hapo nyumbani, yaaani alale nae kwa tamaa zake lakini sio sababu nililegeza kamba...
 
Nakubaliana nawe AshaDii but nataka nikuelewe vema, so hapa Baba anaamua kulala na Binti huyu kwa kuwa tu anafuliwa, anapikiwa na kupigiwa pasi au?? Maana kwangu mie ninaidefine hii kama tamaa, lust which should be condemned!

Baba una tamaa zako, mimi sikutimizii matunzo toka nje nisikujue but kwa binti wa kazi?? ambaye ninamlea kama binti yako wa kumzaa??? Plz

Sijui kama huwa wanajiuliza after kumfunua huyo binti, heshima yake kwa mkeo inakuwaje! ayiiii!
 

"labda?".... dahhh! macho yakiona moyo utatamani ee?
mimi nadhani tatizo sio housegirl, tatizo ni cheating....!
it's all about opportunity, kama mbuzi alavyo kwa urefu wa kamba yake.

Whatever the Case hakuna Justification ya Mtu kucheat iwe kwa HG au Vyovyote, Kile ambacho hupendi kutendewa usimtendee Mwenzako
 
Reactions: Mbu

Phweee aksante Baba yangu kwa kweli umenishusha presha
Ngoja leo niongeze diko diko kwa mkweo Mbu afurahi pamoja nami.
 
Reactions: Mbu

AshaDiii huyo ni mwanangu mwenyewe, sina wasiwasi naye.......... unajua natumia mashoto........... mkono umechoka nioneeni huruma mwenzenu
 
AshaDiii huyo ni mwanangu mwenyewe, sina wasiwasi naye.......... unajua natumia mashoto........... mkono umechoka nioneeni huruma mwenzenu

Out of Point: Mkuu Mtambuzi unaonekana una Swaga za Kifataki LoL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…