MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Take note tumeangalia one side of the coin.... Nakuachia akina Nyumba Kubwa, Nemo na Mwanajamii1 they do have a point.
AshaDii, you are very right kuwa sometimes tunajisahau wanawake mf.
- Tunapowaachia hawa mabinti wetu mpaka kukutandikia kitanda, kukufulia nguo za ndani, mashuka mpaka kile kitambaa cha dhahabu! Unajua kama ni binti mwenye matamanio anawezafanya lolote kwa nguo hizo za ndani (Kwa wale wanaoamini mambo haya)
Kujisahau hata kuwa na muda wa 'faragha' na mwandani wako n.k
But bado haimpi Baba justification ya kutembea na binti!!