MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
"labda?".... dahhh! macho yakiona moyo utatamani ee?
mimi nadhani tatizo sio housegirl, tatizo ni cheating....!
it's all about opportunity, kama mbuzi alavyo kwa urefu wa kamba yake.
Mie niseme ukweli kabisa... kwa Mpenzi wangu nipo possessive, simuachi na binti mdogo awe mdogo wangu/binamu/house gal eti amhudumie kila kitu. Labda hio safari is not more than one week na ni dharura, otherwise namtafuta house boy. House gal tutaishi nae namimi nipo hapo nyumbani, yaaani alale nae kwa tamaa zake lakini sio sababu nililegeza kamba...
House girl? To be honestly kwangu ni ngumu sana ladba sijui ajipambe vipi Kumzidi Mke wangu but House Girl and My Wife ni Viwango viwili tofauti kabisa
Mtambuzi
Just because jambo lilishawahi kujadiliwa hapa, doesnt make your reasoning any more valid than not! For instance I can buy into Bishanga's premise " House girl ni wanawake kama wengine", because Generally kama mumeo ni mchafu, then any woman's hole can do, so ..........................,!But validating mume kulala na house help kisa mkewe hajaenda kuchota na kumtengea maji ya kuoga or house girl hajaruhusiwa kwenda kulala na bwana wake Im sorry to say this, but that is ridiculously stup**!!!!
Mbu................hivi ile kamba nlokufungia ni futi ngapi tena?? Naomba niiongeze urefu.
Going with a lady ndani ya nyumba yetu awe Housegal, binamu au rafiki aishie ndani ya nyumba yetu is unacceptable to me, no matter what darling.
Mbu................hivi ile kamba nlokufungia ni futi ngapi tena?? Naomba niiongeze urefu.
Going with a lady ndani ya nyumba yetu awe Housegal, binamu au rafiki aishie ndani ya nyumba yetu is unacceptable to me, no matter what darling.
Mie niseme ukweli kabisa... kwa Mpenzi wangu nipo possessive, simuachi na binti mdogo awe mdogo wangu/binamu/house gal eti amhudumie kila kitu. Labda hio safari is not more than one week na ni dharura, otherwise namtafuta house boy. House gal tutaishi nae namimi nipo hapo nyumbani, yaaani alale nae kwa tamaa zake lakini sio sababu nililegeza kamba...
Nakubaliana nawe AshaDii but nataka nikuelewe vema, so hapa Baba anaamua kulala na Binti huyu kwa kuwa tu anafuliwa, anapikiwa na kupigiwa pasi au?? Maana kwangu mie ninaidefine hii kama tamaa, lust which should be condemned!
Baba una tamaa zako, mimi sikutimizii matunzo toka nje nisikujue but kwa binti wa kazi?? ambaye ninamlea kama binti yako wa kumzaa??? Plz
Sijui kama huwa wanajiuliza after kumfunua huyo binti, heshima yake kwa mkeo inakuwaje! ayiiii!
...hii inanithibitishia tatizo sio housegirl. Tatizo ni cheating!
kuna madingi wawili watatu nawafahamu na kuheshimiana nao
kabisa,..mmoja ni mzee wa kanisa...yeye alifumwa kitandani na binti yake wa kazi.
mwingine yeye kila ajaye nyumbani kwake, usiku ananyatia, haijalishi ni mpwae, binamu,
au shemejiye!....hawa wanakula kwa urefu wa kamba zao....yaani wao incest/taboo ndio mahanjamu yao...
hapo mke hata awe "mtumwa" na mnyenyekevu, jamaa ataonja onja tu.
AshaDii, wasiwasi ni wako banaaa, bora imani!
Naamini kabisa kama kuna mapenzi ya kweli na kuheshimiana katika ndoa, basi mwanaume yoyote anaempenda mkewe na kuheshimu na kumthamni kwa dhati, hataendekeza upuuzi huu wa kuanza kumnyemelea ama kumtamani housegirl ama nduguzo wa kike.
...mwj1, wajua mimi hili behewa nimelidandia kwa mbele tu leo...nisamehe kama sitaeleweka sawasawa...
msisitizo wangu unabakia pale pale, cheating is cheating, haijalishi ni housegirl, workmate, subordinate, employee,
supervisor, au mwalimu wake...hakuna justification ati huyu ana hadhi hii, huyu ana hadhi ile...
...anaye cheat na housegirl/houseboy/shambaboy/driver/au hata mlinzi wake...hana tofauti na anayecheat na walio sawa na yeye, au wanaomzidi hadhi!...
msinitapishe pilau yangu ya eid mwenyewe mwj1 kamwaga maufundi yote leo!
MJ1 Moja ambalo inabidi ukubali ni kwamba mwanaume yoyote yule ambae ni lijali lazima ana tamaa once in a while hata kama anakupenda kuweza kula moto kwa ajili yako. Hivo basi hio tamaa imepishana ukithiri kati ya mwanaume mmoja na mwingine, kuna mwingine tamaa yake huja baada ya kumuona mwanamke wa aina fulani (labda makalio, boobs, mwanya n.k) whereas mwingine tamaa huja tu from the knowledge kua mwanamke alo mbele yake ana maeneo ya kuweza muingilia (Virgina) na environment inaruhusu kukamilisha tamaa yake.
Siku hizi akina mama huwezi ukawa mama wa numbani usijishughulisha, but hio sio ticket ya kusema uko busy mpaka binti yeye ndo aingie chumbani kwenu kuchukua nguo chafu (mwisho atagusa hadi vitambaa husika), au eti atatindike kitanda, au usafi.... OR eti upo nyumbani yeye aandae chakula mezani, aite chakula tayari.... NDIO ni vitu vidogo but this counts... hio hata kama mwanaume hakuwa na wazo huo binti anapoendelea kufanya hivo, tena siku zinaposonga ndo asidi kupendeza.... Ni moja ya vishawishi ambavo mtu waweza epusha.
Natolea Mfano:
Chukulia unaishi na mumeo, alafu maybe kakake kaomba aishi hapo nyumbani for six months (labda mwajiweza na nafasi ni kubwa ya nyumba)... Ok basi kabla hajaondoka lazima aje kwa wewe shemeji yake na akuage, akuulize kama kuna kitu unahitaji, maybe akupe na pesa kua ongezea kwenye matumizi, atakukuta jikoni or sebuleni moving something - haraka saana anakukatisha kua hapana Shem let me do it, unanyosha anakuja na kukueleza lete za mdogo wangu nikusaidie, unapika unataka kwenda chota maji nje anakukatisha "hapana let me", unatoka na gari kwenda shopping anakuambia "subiri shem hili gari mbona sijaona mkecheck oil" nakadhalika..... Hivo MJ1 ni vitu vidogo saana but vya weigh kuliko tu lile jina kua ni Mme: of coz mara nyingi akina mama unaweza usifanye kitu but ukampenda kabisa kuliko mumeo....
MJ1 sijui ndo nimekoroga zaidi??

Yes Mbu tatizo ni cheating.... But a cheater unapomlegezea kamba the probability ya cheating is raised, thus waepusha kwa hivo....lol... Na haya maneno yako ndo yana support hio post niloeleza mie siangalii house gal tu, naangalia binti aliopo hapo home, hata mdogo/dada angu.
.....
MJ1 Moja ambalo inabidi ukubali ni kwamba mwanaume yoyote yule ambae ni lijali lazima ana tamaa once in a while hata kama anakupenda kuweza kula moto kwa ajili yako. Hivo basi hio tamaa imepishana ukithiri kati ya mwanaume mmoja na mwingine, kuna mwingine tamaa yake huja baada ya kumuona mwanamke wa aina fulani (labda makalio, boobs, mwanya n.k) whereas mwingine tamaa huja tu from the knowledge kua mwanamke alo mbele yake ana maeneo ya kuweza muingilia (Virgina) na environment inaruhusu kukamilisha tamaa yake.
Siku hizi akina mama huwezi ukawa mama wa numbani usijishughulisha, but hio sio ticket ya kusema uko busy mpaka binti yeye ndo aingie chumbani kwenu kuchukua nguo chafu (mwisho atagusa hadi vitambaa husika), au eti atatindike kitanda, au usafi.... OR eti upo nyumbani yeye aandae chakula mezani, aite chakula tayari.... NDIO ni vitu vidogo but this counts... hio hata kama mwanaume hakuwa na wazo huo binti anapoendelea kufanya hivo, tena siku zinaposonga ndo asidi kupendeza.... Ni moja ya vishawishi ambavo mtu waweza epusha.
Natolea Mfano:
Chukulia unaishi na mumeo, alafu maybe kakake kaomba aishi hapo nyumbani for six months (labda mwajiweza na nafasi ni kubwa ya nyumba)... Ok basi kabla hajaondoka lazima aje kwa wewe shemeji yake na akuage, akuulize kama kuna kitu unahitaji, maybe akupe na pesa kua ongezea kwenye matumizi, atakukuta jikoni or sebuleni moving something - haraka saana anakukatisha kua hapana Shem let me do it, unanyosha anakuja na kukueleza lete za mdogo wangu nikusaidie, unapika unataka kwenda chota maji nje anakukatisha "hapana let me", unatoka na gari kwenda shopping anakuambia "subiri shem hili gari mbona sijaona mkecheck oil" nakadhalika..... Hivo MJ1 ni vitu vidogo saana but vya weigh kuliko tu lile jina kua ni Mme: of coz mara nyingi akina mama unaweza usifanye kitu but ukampenda kabisa kuliko mumeo....
MJ1 sijui ndo nimekoroga zaidi??
Hujalikoroga mpenzi. Umefafanua vizuri nimekuelewa. Aksante ayiii mie hizi makitu bana ah zinanikatisha tamaa ya kupenda kwa kweli ayii
MJ1... A Great heart i always say knows how to LOVE no matter umeumizwa mara ngapi.... It loves AGAIN, and again and again.... Hayo ni ya ziada dear... BUT Loving.... God it is a great feeling, it rejuvenates you, kukufanya ujisikie raha na amani wakati woote. Ukipata mwanaume wa kweli (anaweza kua wa uongo but waelewa tena mambo ya mapenzi) LIVE the moment. Furahia na acha kabisa kufikiria yakiharibika itakuaje.... Hapa naomba nim-qoute Teama (bahati nzuri hii topic tulikua woote) "Let Love lead the way"
Hapo kwenye mfano wa huyo kaka umenifanya niogope kwamba huyu kaka/shemeji anaweza kuleta mageuzi/mapinduzi. Hata sisi wanaume inabidi tujiangalie sana. Si wanawake tu
Shukran kwa mfano mzuri
Hapo kwenye RED kunanifanya niwaze mengi...........Is this applicable kwa pande zote mbili? Kuwa wanaume nao wanapaswa kuangalia kuwa wanatufunga kamba na kuwa hawazilegezi?? Au hii ni kwa wanawake tu?? Au ndo mie kwa kuwa ni mke basi natakiwa niwa ndo mfunga kamba, niongeze mafundo na kuhakikisha haikatiki, hailegei ayiiiiiii ah mie jamani menopouse inakuja vibaya!
Usilie dada, ndio maisha hayo...tumeambiwa tulivokuwa watoto "kua uyaone"This post has been the first post in JF kunitoa machozi.
Ubarikiwe AshaDii.