MJ1 Moja ambalo inabidi ukubali ni kwamba mwanaume yoyote yule ambae ni lijali lazima ana tamaa once in a while hata kama anakupenda kuweza kula moto kwa ajili yako. Hivo basi hio tamaa imepishana ukithiri kati ya mwanaume mmoja na mwingine, kuna mwingine tamaa yake huja baada ya kumuona mwanamke wa aina fulani (labda makalio, boobs, mwanya n.k) whereas mwingine tamaa huja tu from the knowledge kua mwanamke alo mbele yake ana maeneo ya kuweza muingilia (Virgina) na environment inaruhusu kukamilisha tamaa yake.
Siku hizi akina mama huwezi ukawa mama wa numbani usijishughulisha, but hio sio ticket ya kusema uko busy mpaka binti yeye ndo aingie chumbani kwenu kuchukua nguo chafu (mwisho atagusa hadi vitambaa husika), au eti atatindike kitanda, au usafi.... OR eti upo nyumbani yeye aandae chakula mezani, aite chakula tayari.... NDIO ni vitu vidogo but this counts... hio hata kama mwanaume hakuwa na wazo huo binti anapoendelea kufanya hivo, tena siku zinaposonga ndo asidi kupendeza.... Ni moja ya vishawishi ambavo mtu waweza epusha.
Natolea Mfano:
Chukulia unaishi na mumeo, alafu maybe kakake kaomba aishi hapo nyumbani for six months (labda mwajiweza na nafasi ni kubwa ya nyumba)... Ok basi kabla hajaondoka lazima aje kwa wewe shemeji yake na akuage, akuulize kama kuna kitu unahitaji, maybe akupe na pesa kua ongezea kwenye matumizi, atakukuta jikoni or sebuleni moving something - haraka saana anakukatisha kua hapana Shem let me do it, unanyosha anakuja na kukueleza lete za mdogo wangu nikusaidie, unapika unataka kwenda chota maji nje anakukatisha "hapana let me", unatoka na gari kwenda shopping anakuambia "subiri shem hili gari mbona sijaona mkecheck oil" nakadhalika..... Hivo MJ1 ni vitu vidogo saana but vya weigh kuliko tu lile jina kua ni Mme: of coz mara nyingi akina mama unaweza usifanye kitu but ukampenda kabisa kuliko mumeo....
MJ1 sijui ndo nimekoroga zaidi??