Tahadhari kwa wapenda beach plot.

Tahadhari kwa wapenda beach plot.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Kwa wale tunaopenda kujenga pembezoni mwa ufukwe wa ziwa ama bahari tuchukue tahadhali.

Jana habari fukwe za Afrika kusini zilivamiwa na mavimbi makubwa sana ya maji na kuharibu mali kwa kiwango kisichoelezeka.

Tukumbuke pia mwaka 2020 mvua ilinyesha ikavunja rekodi ya kiwango cha juu sana cha maji ziwa Victoria na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 200 huko Kenya aliokua wakiishi kando ya Ziwa, huku Tanzania hakukua na maafa makubwa ila kulikua na uharibifu wa mali usio na kiwango kwa wakazi wa pembeni mwa ziwa.

Angalia mwenyewe.

View: https://twitter.com/Abramjee/status/1703089307953529104?s=19
 
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
 
Hii habari inawahusu matajiri,hakuna masikini anayeweza kumiliki plot beqch
 
Back
Top Bottom