Tahadhari kwa wapenda kula matunda wote, juweni kuna homa ya ini

Kwa mila zetu ni ngumu kuepuka ugonjwa huu, utasalimia kwa kushika mkono, kwenye mahusiano huwa tunapimana HIV tu, twende kwenye dala dala sasa mmmh! Uzuri ugonjwa huu wanasema unaweza upata na ukapona pasipo ww kujua
 
Kuna chanjo inatolewa Ocean road..

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…