Tahadhari: Kwa watafuta ajira usijaribu kuomba wala kufanya kazi hospitali hizi jijini Mwanza

ID yangu ( iliyo Brand hapa JamiiiForums ) haiandikwi Gentamycine ( kwa Herufi Ndogo ) bali inaandikwa GENTAMYCINE kwa Herufi Kubwa. Msituchanganye tafadhali na Mimi nipo peke yangu na hata Uwasilishaji wangu pia hapa ni tofauti ( tena wa Mbingu na Ardhi ) ukilinganisha na wengine wanaopenda Kuniiga ila wakiwa wemesahau kuwa nimebarikiwa Kitambo mno na Tunu ( Shani ) kutoka Kwake Mwenyezi Mungu.
 
Hata huku Dar ukiondoa zile Hospitali kubwa zinazojulikana hizi zingine maisha ndo hayo hayo, asilimia kubwa ya wafanyakazi hawana mikataba,, wanapewa wachache mikataba ili majina yao yapelekwe kwenye TAASISI za SERIKALI kama NSSF na zingine kwa jili ya UHAI wa kituo tu... kuna sehemu nilikuwa natangaza njaa nilikuta kuna watu wana mikataba hadi ya miezi 3, hakuna cha Overtime za Weekend wala Sikukuu,,,

Hapa nipo kwenye Kituo kimoja cha Afya watu wana mwezi wa pili hawajapewa mishahara, sababu wanaambiwa kuwa KITUO hakijalipwa madai yao NHIF kwahiyo waendelee kusubiri...
 
Dah, Umeupiga mwingi sana mwanetu... Hakika wewe sio mwajiriwa hapo Uhuru. Utakua ndio mwajiri mwenyewe AKA Shareholder.
 
Huko hata kupeleka mgonjwa hakufai,mtu hajalipwa mshahara atafanyaje kazi kwa juhudi sasa,bora umezitaja tutoke nduki tusipeleke wagonjwa huko
 
Mkuu naomba connection kazini kwenu hapo
 
Nifanyie connection mkuu nipate kazi
 
 
Hurumia Watoto niliitwa nianze kazi bila interview Wala job contract Wala salary negotiation nikapiga siku moja tu sikurudi Tena

Al Jumaa kafanya kazi mwanangu mmoja Ni Magumashi kinyama!!!
Na mimi hurumia watoto niliitwa bila interview nilichokikuta ni huzuni yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…