Tahadhari: Makundi ya Bongo flavour yanaweza kusambaratika

Tahadhari: Makundi ya Bongo flavour yanaweza kusambaratika

Zamani wasanii wabongo walikuwa wanapenda makundi ili wachangishane hela ya kwenda studio maana studio zenyewe zilikuwa chache Na gharama juu.

Siku hizi mambo yamebadilika hata ukiwa Na elfu 25 unapata beat
 
Back
Top Bottom