Kitumbikwela Senior Member Joined Nov 5, 2016 Posts 140 Reaction score 99 Dec 29, 2016 #21 EMMYGUY said: Usisahau pia KC & Jojo. Click to expand... KC $ Jojo walijiengua kutoka kwenye kundi la JODECI
EMMYGUY said: Usisahau pia KC & Jojo. Click to expand... KC $ Jojo walijiengua kutoka kwenye kundi la JODECI
gezzle Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 128 Reaction score 88 Dec 29, 2016 #23 Daz nunda walikuwa vzuri tu ila kwishney.....
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,186 Dec 30, 2016 #24 Zamani wasanii wabongo walikuwa wanapenda makundi ili wachangishane hela ya kwenda studio maana studio zenyewe zilikuwa chache Na gharama juu. Siku hizi mambo yamebadilika hata ukiwa Na elfu 25 unapata beat
Zamani wasanii wabongo walikuwa wanapenda makundi ili wachangishane hela ya kwenda studio maana studio zenyewe zilikuwa chache Na gharama juu. Siku hizi mambo yamebadilika hata ukiwa Na elfu 25 unapata beat