Tahadhari: Mbeya ni Moja kati ya mikoa hatari kwa ajali za barabarani Tanzania

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Mkoa wa mbeya,inatakiwa ugawanywe kipolisi ,idara ya usalama barabarani.

Ni mkoa hatari kwa maisha ya binadamu, kupitia ajali za barabarani.
Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya umeendelea kugharimu maisha ya watu baada ya leo Jumapili, Julai 27, 2025 kuua mmoja na kujeruhi wengine kadhaa kufuatia ajali iliyohusisha magari matano na bajaji moja.

Ajali hiyo imetokea katika mteremko huo ambapo lori kufeli breki na kuyagonga magari mengine manne yakiwamo ya abiria na bajaji moja.

Ajali hiyo imekuwa mwendelezo wa ajali katika mteremko huo unaohusisha maeneo ya Simike, Mbembela na Iyunga ambapo mara ya mwisho kutokea ajali kubwa iliua watu 13 na kujeruhi 18, Juni 5,2024.

Ofisa Operesheni wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya, Gervas Fungamali amesema baada ya kupata taarifa ya ajali hiyo wamefika kwa ajili ya kuokoa jambo ambalo wamefanikiwa.

Amesema kwa taarifa za awali, mtu mmoja ambaye jina lake halikujulikana haraka aliyekuwa kwenye bajaji amefariki dunia.
 
Kule haipiti wiki Israel hajaondoka na watu wake
 
Tumezoea na serikali inajua hilo.

🚶🚶
 
Huu miteremko kutoka Njiapanda kwenda iyunga
Meta hadi mbembela
Pia Kona zile simike hadi Nzovwe,Mwisho wa Waya kushtuka mbalizi,kona zingeuliwa.
Ajabu barabara mpya imefuata kona hizohizo.
Sina utaalamu na mambo ya ujenzi ila simike, Njiapanda na Mwisho wa waya kwendea Iwambi ni mabomu ambayo muda wowote yatalipuka.
..........
Madereva wa Mbeya nao wapo rafu mno.
Pamoja na Barabara kuwa hatarishi ila madereva hawajali chochote.
Hasa dereva wa Daladala na Bajaj..wanapenda sana kujichomeka
Yaani anajichomeka ili awe mbele ya Lori.. imagine Lori linamfuata nyuma na ni mteremkoni.
 
Ukiangalia kilima cha pale Simike mpaka chini pale Mbembela panahitaji kuongeza upana wa barabara,vilevile ule mtelemko wa kushuka Mbalizi (machinjio) pia inapaswa kuongeza njia
 
Kipind fulani niliona waumini wakiombea barabara ili kupunguza ajali ,wafanye jambo kweli watu wanaisha.
 
Hao Usalama barabarani Ndio tatizo kubwa kwa ajali nchini
Yaani kila ajali break zimefeli ila hawasemi hata siku moja matairi yameisha kabisa na wanaendesha hivyo hivyo kwa kutoa chochote

Yaani dereva analala Nila kwa mwenye mali kuwa anasimamishwa kutwa na kukaguliwa

Lakini hawajali kwani dereva anaaambiwa malizana nao.

Hiyo malizana nao ndio anaenda kuuwa watu
 
Mbeya ni hatari sana kutoka Tunduma mpaka unaimaliza Mbeya ni hatari kila sehemu..
 
Mkoa wa mbeya,inatakiwa ugawanywe kipolisi ,idara ya usalama barabarani.

Ni mkoa hatari kwa maisha ya binadamu, kupitia ajali za barabarani.
Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya umeendelea kugharimu maisha ya watu baada ya leo Jumapili, Julai 27, 2025 kuua mmoja na kujeruhi wengine kadhaa kufuatia ajali iliyohusisha magari matano na bajaji moja.

Ajali hiyo imetokea katika mteremko huo ambapo lori kufeli breki na kuyagonga magari mengine manne yakiwamo ya abiria na bajaji moja.

Ajali hiyo imekuwa mwendelezo wa ajali katika mteremko huo unaohusisha maeneo ya Simike, Mbembela na Iyunga ambapo mara ya mwisho kutokea ajali kubwa iliua watu 13 na kujeruhi 18, Juni 5,2024.

Ofisa Operesheni wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya, Gervas Fungamali amesema baada ya kupata taarifa ya ajali hiyo wamefika kwa ajili ya kuokoa jambo ambalo wamefanikiwa.

Amesema kwa taarifa za awali, mtu mmoja ambaye jina lake halikujulikana haraka aliyekuwa kwenye bajaji amefariki dunia.
Kwahiyo wakiugawanya miteremko na milima itakuwa mifupi! Yaani mteremko mmoja wataugawa mara tatu hivi hivyo hautakuwa hatarishi! Mawazo kama ya Lucas Mwashambwa vile.
 
Back
Top Bottom