Hahaha yule bibie sijui alijichimbia wapi lol!!
Lile neno 'sababisha' umeliandika wewe!??
Kuna members wanao7bisha members wengine kapata BAN. % kubwa mwanzisha hapati BAN isipokuwa wachangiaji wa thread husika.
Nifupishe maongezi kwa kukutafadhalisha usipost chochote kama thread imekaa kichokozi.
Muepuke mjinga ufike safari yako.
karibu tena nyumbani mpz!
Baba V; Kha ha ha ha ha haaaaaaa!! Ameandika mwenyewe wewe unafikiri nimemshika mkono?