huko mnapaweza wenyewe risasi nje nje ka south africa,af vitu bei ya juu mi nishazoe nyanya mia 200 fungu huku kuanzia miatano eti mnaishi kawatalii akuuu!
Mr Rocky mimi mzima mkuu, kuhusu sweetlady yeye yuko Australia na mabosi wake Mungi na Lily Flower. Erickb52 amesafirisha zile nyara kwenda Pakistan kwa dege la gesh wauulize hata Baba V na Mamndenyi. Ukimuona St. Paka Mweusi mpe hi.
una akili sana wewe!Kuna members wanao7bisha members wengine kapata BAN. % kubwa mwanzisha hapati BAN isipokuwa wachangiaji wa thread husika.
Nifupishe maongezi kwa kukutafadhalisha usipost chochote kama thread imekaa kichokozi.
Muepuke mjinga ufike safari yako.
Ingekuwa nina uwezo wa kuwapa adhabu ningekata kidole kimoja kimoja kila mkono under one condition. Kama anatumia simu namkata dole gumba kila mkono. Kama anaumia pc namkata kidole kinachofata baada ya dole gumba.
My sweetheart stevoh,mbona umeadimika hivyo?
Enhee,harusi yetu lini?
My Marry Hunbig mzima?