Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini.
Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na matakwa ya Mwenyezi Mungu.
"Naiomba serikali yetu na viongozi wetu, wasikubali kupokea misaada ambayo itakuwa na masharti ya kuruhusu ushoga nchini kwetu. Ni bora tukafa na umaskini wetu kuliko kuruhusu hizo ndoa," alisema Askofu Mwajunga.
chanzo
Nipashe.