Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
Dah!!Bongo Umagharibi umetanda kuna kijana juzi amepasuliwa Kariakoo kisa Airforce(Raba) aibu.
Umejuaje?! Lakini Askofu alichokifanya ni kutoa tahadhari.Hakuna msaada wenye masharti ya ndoa za jinsia moja.
Ila wana harakati wa haki za binadamu wa huko nchi za nje hupiga kelele nchi zao zisisaidie nchi zinazokandamiza watu wavutiwao na watu wa jinsia moja, waliobadili jinsia, wavutiwao na jinsia zote ama wenye jinsia mbili
Hakika akili lazima ziwe kichwani mwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna badooo hadi mtajutaa kupokea vya buree kwa watu.
Kuna kiongozi alisema "ukitaka kula sharti uliwee"
Akili kichwani mwenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema ni Dhambi miongoni mwa madhambi makubwaMasheikh nao wanasemaje kuhusu ndoa hizo!?
Tamko zuri la kanisaKANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini.
Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na matakwa ya Mwenyezi Mungu.
"Naiomba serikali yetu na viongozi wetu, wasikubali kupokea misaada ambayo itakuwa na masharti ya kuruhusu ushoga nchini kwetu. Ni bora tukafa na umaskini wetu kuliko kuruhusu hizo ndoa," alisema Askofu Mwajunga.
chanzo
Nipashe.
Bongo Umagharibi umetanda kuna kijana juzi amepasuliwa Kariakoo kisa Airforce(Raba) aibu.
Wanasema ni Dhambi miongoni mwa madhambi makubwa
Zuri sana.Tamko zuri la kanisa
Fanya utafitiHakuna msaada wenye masharti ya ndoa za jinsia moja.
Ila wana harakati wa haki za binadamu wa huko nchi za nje hupiga kelele nchi zao zisisaidie nchi zinazokandamiza watu wavutiwao na watu wa jinsia moja, waliobadili jinsia, wavutiwao na jinsia zote ama wenye jinsia mbili