Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
Duu wewe unatamani likutane na kila mwanaume....mimi natamani likutane na umpendae sana...mumeo au mpenzi wako na apelekwe msikule ndo utaja jua kuwa dua hiyo ni mbaya kwa wanaume akiwepo umpendae
Sasa mtu kajifunika kama ninja unajuaje ni mzuri?kwa wale wanaopanda mabasi ya buguruni -feri watakubaliana na mimi hasa usiku ukiwa na macho ya roho unaweza muona mdada mzuri kajifunika full(ninja) ukiangalia knye kucha za mikona utaona tofauti au miguuni kama kwato za ngombe
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
napenda jini lianze na mumeo.........................mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
Sasa mtu kajifunika kama ninja unajuaje ni mzuri?
Sasa mtu kajifunika kama ninja unajuaje ni mzuri?
hao ni wengine, kutia msisitizo wapo!
Lizy, kuna watu wana macho ya x-ray, we acha tu!
Unatia msisitizo kwa kujidanganya umemwona mrembo alievaa kininja?Unajuaje ni mrembo na sio mwanaume mwenzako?Ndo maana hua mnakumbwa na mambo ya ajabu ajabu shauri ya somba somba!
Ndo mkome kuokota okota!hilo la ninja tuliache majuz kuna my friend alichukua demu alimkuta maeneo mlimani city kwa nje kama saa sita hivi pale kiuoniamesimama kama anasubiri bas akabeba kufika gest ilikuwa balaa jamaa alitoka na bukta hadi nyumbani