Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Wasiwasi wangu unabaki kwenye hayo mawindo!!
Mawindo ya Kondoo wapotevu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiwasi wangu unabaki kwenye hayo mawindo!!
kaka hiyo avatar yako bomba
Mawindo ya Kondoo wapotevu!
kumbe kuna jini kafri?nilidhan majini ni wao tu.Jini Kafri dawa yake ni pua ya kiti moto hasa supu yake
Hahahaha.....unafurahisha kweli Dr wa ukweli. Unatoa tahadhari wakati wewe mwenywe jaribu linaweza kukushinda....pole!
nataka lianze nawe ili utusimulie zaid na zaid
mwenyewe unajua tabasam hilo kila mwanaume atafika tu,........ ndio hivyo hata majini yanatushinda kwa sura kali kama hizo
Mnatutisha tisha tu aaaaagh!!
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
duh haya mambo kumbe na dar yapo!mi nilijua tanga tu