Tahadhari mnaoendesha magari usiku wa leo mkiwa na furaha labda mmeonja gambe. Simba kashinda pia wana CCM wanaotoka Dodoma kuweni waangalifu barabarani gambe na furaha isije ikawa-impair maamuzi ya majuto mkiwa barabarani.
Mungu awasimamie mfike salama jumatatu asipungue mtu brazas and sistaz