Tahadhari mnaotoka Dodoma na mnaotoka Dar Derby

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
Tahadhari mnaoendesha magari usiku wa leo mkiwa na furaha labda mmeonja gambe. Simba kashinda pia wana CCM wanaotoka Dodoma kuweni waangalifu barabarani gambe na furaha isije ikawa-impair maamuzi ya majuto mkiwa barabarani.

Mungu awasimamie mfike salama jumatatu asipungue mtu brazas and sistaz
 
Una hasara gani wakipungua?
Lililo andikwa haliepukiki.
Piga bunda barabarani ccm baba lao sio!
 
Back
Top Bottom