Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

Kuna yule Dkt William mtanzania Usa, ailtabiri mwezi was Saba kutakuwa na matukio mengi ya ajali.
Anyway mungu awatie nguvu wore waliopata matatizo.
 
Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
NAMUONA RPC ANAKULA BATA HAPA MAGOMENI.
Nchi imekuwa ngumu sana hii.
 
Kuna yule Dkt William mtanzania Usa, ailtabiri mwezi was Saba kutakuwa na matukio mengi ya ajali.
Anyway mungu awatie nguvu wore waliopata matatizo.

Mmmmhhhh Hivi unamuamini yule JUHA? Yule ni Mpuuzi hana analolijua ,hivi kuna mwezi unaweza kupita bila kutokea ajali?
 
IGP yuko likizo au?

Ajali zinatokea yeye kimyaa!!!

Kuna uwezekano mkubwa sana raia kuanza kuuliza hata maswali ambayo hayana majibu.
 
Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
Picha..
 
Back
Top Bottom