Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
Hyo barabara inatakiwa ipanuliwe iwe njia sita angalau mpak chalinze , jiwe angekuwepo hili lingekuwa lishafanyika , mtasingizia madereva Ila miundo mbinu ni mibovu haiendani na mahitaji
 
Kipande cha kibaha - chalinze kuna lango la kuzimu hapo. Ajali nyingi ni za kutengenezwa na hawa wazee wa suti walioamua kujiuza nafsi zao kwa lucifer kwa ajili ya utajiri, na umaarufu.
Malango ya kafara za ajali za barabarani nchini ni Morogoro, Singida na Mbeya hizi pande haipiti mwezi shetani ajachukua damu.
 
Hii barabara ingewekwa njia nne mpaka angalau chalinze ajali zingepungua sana nchi hii
 
Back
Top Bottom