zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
NAMUONA RPC ANAKULA BATA HAPA MAGOMENI.Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
Kuna yule Dkt William mtanzania Usa, ailtabiri mwezi was Saba kutakuwa na matukio mengi ya ajali.
Anyway mungu awatie nguvu wore waliopata matatizo.
Hiii kweli aisee,wiki tu ajali kubwa kama sitaHakuna pepo,
magari mengi, barabara nyembamba alafu mbovu.
Sijawahi mfatilia sana, ila nina rafiki angu ana mfuatilia na kufata mafundisho yake.Mmmmhhhh Hivi unamuamini yule JUHA? Yule ni Mpuuzi hana analolijua ,hivi kuna mwezi unaweza kupita bila kutokea ajali?
Mlambe kofiNAMUONA RPC ANAKULA BATA HAPA MAGOMENI.
Nchi imekuwa ngumu sana hii.
Na ww unamuamini kabisa yule mpuuzi? Yule hana lolote ajualo zaidi ya kusaka umaarufu FB.iyo lami ya Mlandizi huwa ni mbaya.ingawa kwa ujumla barabara za bongo nyingi ni pasua kichwa.
tena mbovu kwelikweli na ndio inaunganisha SADCHakuna pepo,
magari mengi, barabara nyembamba alafu mbovu.
Kwa miundombinu hii ya mwaka 47 tutegemee ajali zaidi na zaidi. Kutoka kibaha-morogoro ni jehanamu ya wasafiriHakuna pepo,
magari mengi, barabara nyembamba alafu mbovu.
Huu ndio ukweliHakuna pepo,
magari mengi, barabara nyembamba alafu mbovu.
Ile lami nikama ujiujiiyo lami ya Mlandizi huwa ni mbaya.ingawa kwa ujumla barabara za bongo nyingi ni pasua kichwa.
Picha..Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya