Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

luirhu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
800
Reaction score
412
Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais.

Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea.

Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu na uwanja wa ndege wa kimataifa maaana ni stendi inayo hudumia mataifa mbalimbali hivyo umakini an ubora ni jambo la kuzingatia, isiwe bora tu kumaliza bali tuone thamani ya fedha zilizotolewa.

KAZI inaendelea.
 
Usiwe na hofu mambo yatajiseti yenyewe taratibu bila wakuu kugundua.
 
Hivi daladala za Tabata Segerea to Mbezi stend zitakuwepo?

Na

Kivule to Mbezi stend je?
 
TANROAD walisha fungua njia zote kutoka pembe zote za Jiji ni lazima daladala zote zifike Mbezi mwisho, Kwa kifupi Kwa sasa Mbezi itakuwa K/koo no.2 kila kitu sasa unaweza kukamilisha ukifika tu MBEZI
 
Watendaji wote mnao husika na mradi huo nawakumbusha tu mliambiwa msikae maofisini, pigeni kambi hapo hadi kieleweke.
 
Umenena, ni kweli hiyo ni stendi ya mfano Afrika mashariki na kati.

na hakika mapato yataongezeka maradufu na itachochea ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja moja na nchi kwa ujumla.
 
Hivi daladala za tabata segerea to mbezi stend zitakuwepo?

Na

Kivule to mbezi stend je?
We unaishi wapi,segerea mbezi zipo nyingi sana zinapitia malamba mawili ,kinyerezi
 
Kumbe we unajivunia kwa babu zako nikajua kwako.
Kwa babu yangu ndio kwangu,leo hayupo mjukuu nipo hata biblia inaongelea kuhusu urithi,sio kitu kibaya ,hta mo dewji karithi
 
Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais.

Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea.

Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu na uwanja wa ndege wa kimataifa maaana ni stendi inayo hudumia mataifa mbalimbali hivyo umakini an ubora ni jambo la kuzingatia, isiwe bora tu kumaliza bali tuone thamani ya fedha zilizotolewa.

KAZI inaendelea.
Yaani ukiangalia Raman ya hiyo stand kwakweli nibongee la stand likikamilik vizuri labda tumuombe
hwmheshimiwa rais awape muda waombe radhi kwa kuxhelewesha mradi ili wamalize kwa kiwango cha Raman yake
 
Back
Top Bottom