Hahhhhhhhhhhhh...Usiwe na hofu mambo yatajiseti yenyewe taratibu bila wakuu kugundua.
zipoHivi daladala za tabata segerea to mbezi stend zitakuwepo?
Na
Kivule to mbezi stend je?
We unaishi wapi,segerea mbezi zipo nyingi sana zinapitia malamba mawili ,kinyereziHivi daladala za tabata segerea to mbezi stend zitakuwepo?
Na
Kivule to mbezi stend je?
We unaishi wapi,segerea mbezi zipo nyingi sana zinapitia malamba mawili ,kinyerezi
Hivi wakati babu zetu wanawahi viwanja sinza babu yako akaona aende kivule,hongeraKivule
Kumbe we unajivunia kwa babu zako nikajua kwako.Hivi wakati babu zetu wanawahi viwanja sinza babu yako akaona aende kivule,hongera
Kwa babu yangu ndio kwangu,leo hayupo mjukuu nipo hata biblia inaongelea kuhusu urithi,sio kitu kibaya ,hta mo dewji karithiKumbe we unajivunia kwa babu zako nikajua kwako.
Yaani ukiangalia Raman ya hiyo stand kwakweli nibongee la stand likikamilik vizuri labda tumuombeBaada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais.
Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea.
Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu na uwanja wa ndege wa kimataifa maaana ni stendi inayo hudumia mataifa mbalimbali hivyo umakini an ubora ni jambo la kuzingatia, isiwe bora tu kumaliza bali tuone thamani ya fedha zilizotolewa.
KAZI inaendelea.
PoleKwa babu yangu ndio kwangu,leo hayupo mjukuu nipo hata biblia inaongelea kuhusu urithi,sio kitu kibaya ,hta mo dewji karithi