Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Huo ndiyo ukweli wenyewe angekuwa nazo asingefanya huu uhuni.Nilitaka kusema HANA AKILI ila nimeona nimstahi.
Yatakuwa marudio wengine tushamzomea kitambo since 2011 tukiwa pale UDNaomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo., ila usijirekebisha, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafsi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Tangu lini maoni kama haya akayatia maanani ??!Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo., ila usijirekebisha, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafsi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Fitna kazianza tangu ujanani mwake.Kuna kipindi mtu anatakiwa akubaliane na mwenendo wa nyakati.Kusoma nyakati.Kikwete fitna kazianza zamani uchaguzi wa 2005 aliwahi kumfanyia fitina Salim Ahmed Salim aliyekuwa anagombea naye kuwa ni mwarabu hawezi kuwa rais
Ni kweli. Huyu hata akizomewa huwa anacheka tu.Huyu mzee hana aibu kabisa yeye anachojali ni kumuandalia mwanawe mazingira ya kuja kuwa Rais bila kujali kama anakiathiri chama, ni mzee wa hovyo kabisa.
Wewe liache! Wala siyo kuzomewa tu bali ni kupigwa mawe kabisa! Zee limekuwa pumbavu sana sijui kwa nini bwana!Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo., ila usijirekebisha, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafsi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Kwa hiyo wewe unaona anafanya vizuri?Tangu lini maoni kama haya akayatia maanani ??!
Unamjua au unamsikia tu ?!!
Utasubiri sana !
NIMEMALIZA 😳 !