gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hii fitna yenu mliyoikazania haina mashiko, acheni kueneza chuki,inawaumiza wenyeweHuyu mzee hana aibu kabisa yeye anachojali ni kumuandalia mwanawe mazingira ya kuja kuwa Rais bila kujali kama anakiathiri chama, ni mzee wa hovyo kabisa.
Upumbavu wake nini!?..nieleze kwa ushahidi tafadhaliWewe liache! Wala siyo kuzomewa tu bali ni kupigwa mawe kabisa! Zee limekuwa pumbavu sana sijui kwa nini bwana!
kwa ushahidi upi kwamba hayo mawazo yako ndio ya wengi? acha kulazimisha utakacho wewe ndio wengi watakachoNaomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafsi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
wewe ulitaka aseme nini? mimi nimemskia mara nyingi tu akiongelea maslahi ya jimbo lakeMi kinachoniuma mkewe hajawahi kuwa na constructive ideas kila akiongea anatoa boko... mapenzi tu anayawazia sijui aliingiaje bungeni😭😇😏
Hamna lolote bibi wee!wewe ulitaka aseme nini? mimi nimemskia mara nyingi tu akiongelea maslahi ya jimbo lake
hilo ni tatizo lako,hiyo ni chuki yako dhidi ya huyo mtu ndio inakufanya usione kwa jicho la haki mimi nimemsikia mwenyewe akipigania elimu,kilimoHamna lolote bibi wee!
Sawa sawa Lizwanhilo ni tatizo lako,hiyo ni chuki yako dhidi ya huyo mtu ndio inakufanya usione kwa jicho la haki mimi nimemsikia mwenyewe akipigania elimu,kilimo
Nyerere pia aliliona Hilo 1995 na alitumia busara kusema Rais wa JMT ni lazima awe 40+ kiumri.Nilitaka kusema HANA AKILI ila nimeona nimstahi.
Hivi dada mkubwa alikua mwalimu wa UPE au daraja 3A?Mi kinachoniuma mkewe hajawahi kuwa na constructive ideas kila akiongea anatoa boko... mapenzi tu anayawazia sijui aliingiaje bungeni😭😇😏
mimi wala huo ukoo siujui,niko mbali sana nao ba hata wao hawanijui,na si hivyo tu mimi wanasiasa wa tanzania wote hawanijui maana sipendi siasa na ukizingatis historia yangu ya kuzaliwa na wazazi ambao wana utaifa tofauti,niko makini sana kuongea very objectivelySawa sawa Lizwan
Wewe mtoto mdogo huwezi kuelewa haya mambo. Huyo mzee ni nuksi kweli kweli.Hii fitna yenu mliyoikazania haina mashiko, acheni kueneza chuki,inawaumiza wenyewe
Asante sana Ponjoro kwa kujizuia. Kwa maana isingependeza.Nilitaka kusema HANA AKILI ila nimeona nimstahi.
JIBU NI MOJA TU WAISLAMU WASIPEWE UONGOZI TUFANYE KAMA RWANDA WALIVYO FANYA KWA WAHUTU ...WAISLAMU SIYO WAZALENDO WAISLAMU AWANA AKILI YOYOTE NDIYO SABABU YA TZ KUBAKI HAPA ILIPO KWA SABABU RAISI MMOJA ANAKUJA KUJENGA NCHI KISHA ANAKUJA MPUMBAVU WA MASJID KUBOMOANaomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafsi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Huyo jk hajawahi hata kusikika akikemea utekaji na mauaji ya Watanganyika wenzake, ni msaliti!Tahadhari: Mzee wa Msoga kuna siku utazomewa
No reforms no election..sasa kama hupendi siasa unaongea usivyovijua gerahiamimi wala huo ukoo siujui,niko mbali sana nao ba hata wao hawanijui,na si hivyo tu mimi wanasiasa wa tanzania wote hawanijui maana sipendi siasa na ukizingatis historia yangu ya kuzaliwa na wazazi ambao wana utaifa tofauti,niko makini sana kuongea very objectively