Tahadhari: Mzee wa Msoga kuna siku utazomewa

Hakika umeona mbali mkuu we ni mtabiri haswa


Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Tusisahau pia JK alidondoka pale Jangwani jukwaani kwenye kampeni, ilikuwa ni uchovu tu wazee wanajua hili.
Pale Mwanza Chizi alipanda jukwaani, haijulikani shida ilikuwa ni nini.

1995 - Mbele ya Mwalimu Julius Kambarage pale Chimwaga kijana akiwa very young alitema speech ambayo ilibidi Mzee Mwalimu Kambarage amkumbatie kijana wake.
Nani katika nchi hii katika umri wa JK mbele ya wazee akina Nyerere, Malecela, Msekwa, Msuya nk angeweza kuwa na uthubutu wakugombea Urais na kutingisha Dodoma namna ile?..

2005 - Pale Chimwaga Wazee wanasema RAIS ni SAS, BWM anaambiwa ukimkata dogo CCM inaishia hapa na kusambaratika., BWM anamezaa ndoano, JK anakuwa Rais.

2025 - JK anaambiwa ukimkata EL, CCM inasambaratika na kufa hapa, JK anamkata EL na JPM anakuwa Rais na CCM bado ipo.

Mambo ya JK tumuachie mwenyewe na Mwenyezi Mungu, sisi tumeshamshindwa.

Safarini Rostov - Russia.
 
Hakuna anayemuheshimu tena yeye na famiria yake
 

1. Mafanikio ya IPTL Tanzania na balaa ambalo nchi imepitia.

2. Salim Ahmed Salim na siasa za Hizbu 2005

3. IPTL na Escrow

4. Katiba mpya na hatima yake pamoja na kutumia bilions za walipa kodi

5. Mimi sitegemei kuona tofauti...ni kuyaendeleza yale ninayoyaweza. Mimi mkulima. Ngoja niendelee kutifua udongo nibaki salama
 
Haitakiwi kuishia kuzomewa, iende hatua nyingine
 
Acha tu!
He's too much aisee! Labda muwasho wake ni balaa! Kwani akitulia akala PENSHENI yake ya mamilioni haiwezekani?!
Mburaaa!
 
Mhuni kama alivyosema pole pole ,kikwete wewe NI mungu nini ? Mbona unatutesa watanzania namna hii,mungu WA kweli anakuona na tabia zako tumekuchoka Sana na tuombe mungu hakuchukue mara moja
 
kikwete anajiona kayapatia sana, subr Dawa yake inakuja hila na uwovu wake utamrudia kichwani pake
Mi hofu yangu ni kwa wote wanrithi wa jina lake, yaani hata sasa ikilitaja jina unaona kama a 👹 monster vile limechafuka!
 
upimwe akili umemshindwa mwenyewe usitujumlishe sote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…