Tahadhari: Mzee wa Msoga kuna siku utazomewa

Nilitaka kusema HANA AKILI ila nimeona nimstahi.
Kama wewe ni wa zamani kuna kijitabu fulani cha hadithi cha shule ya msingi, kuna watu watatu waliojificha.....mmoja akasema
.....mbona wewe unakanyaka watu kama majani
.....Mbona wewe unasema
......
......Heri mimi sijasema.....
 
Kama wewe ni wa zamani kuna kijitabu fulani cha hadithi cha shule ya msingi, kuna watu watatu waliojificha.....mmoja akasema
.....mbona wewe unakanyaka watu kama majani
.....Mbona wewe unasema
......
......Heri mimi sijasema.....
Hahahaa.
 
Mimi nashangaa sana Kumuona Mzee wetu kwenye High tables za Government functions, Duniani kote Marais wastaafu huwa wanakaa Pembeni kupisha Rais aliyepo atawale vizuri Yani they just stay quite lakini Ndugu yetu msoga ilo kwake limekuwa Gumu kabisa
 
Mimi nashangaa sana Kumuona Mzee wetu kwenye High tables za Government functions, Duniani kote Marais wastaafu huwa wanakaa Pembeni kupisha Rais aliyepo atawale vizuri Yani they just stay quite lakini Ndugu yetu msoga ilo kwake limekuwa Gumu kabisa

kumbe ni ndugu yako? duh …
 
Uyu mzee shida sijui nini, wazee wenzake wametulia , au anajipa umuhimu sana kisa amabaki peke yake kama Rais mstaafu? kwenye nchi kila mzee mstaafu yupo na umuhimu wake by the way wenda wazee kama mzee Warioba, Butiku n.k ndio hawakuwahi kuwa marais ila tujapo kwenye kuijua hii nchi mzee Msoga wenda cha Mtoto.

Mfano tunamchukuliaje mzee kama Mkuchika , yule mzee maneno machache ila kichwa pamoja na uzee kipo na madini mengi ya nchi hii, ila huwa yupo kama hayupo .

Kwa sasa ccm nendeni na Mkuchika ,mtasema ni mzee ,kwani rais wa Nigeria yupo na miaka Mingapi? Leta reforms akishinda kwa haki sawa, vinginevyo nawapa sub

2.Mlete Makongoro Nyerere
3.mlete Mtaka .

Chadema
Mlete Lissu kama tunafanya reforms na wananchi waamue ugonvi ,

Note 1.
Kwenye reforms police na vyombo vingine kazi yao iwe moja tu ,kulinda amani sio kuingilia mambo ya wanasiasa maana wao ni watumishi sio wanasiasa period .

Note2. Ccm kama mnataka kurejesha heshima ya chama na kuanza upya msimchukue yoyote kwenye Urais ambae yupo , na cabinet yake , fanyeni kama kama kile kipindi Mkapa anaingia kwenye uchaguzi .
 
Tangu lini maoni kama haya akayatia maanani ??!
Unamjua au unamsikia tu ?!!

Utasubiri sana !
NIMEMALIZA 😳 !
Nimehesabu alama hizi !!!!???? kwenye mwandiko wako, umehamaki Sana (too emotional)jipe muda wa kutafakari na kutumia ubongo wako kadri ya uliyojaliwa na Muumba
 
Unawezaje kukemea wakati una mrija wa kunyonyea mafuta mdomoni
 
Huyo watanzania walisha mzomea tayari na wanamzomea kila siku,kwa sababu wanajua Hana Akili TIMAMU.
 
Upepo wa kisasa ni kitu cha ajabu sana.
Siku moja ni muda mrefu sana katika siasa.
Wengi hawajui kuwa mwaka 1983, sikukuu ya kuzaliwa CCM(nafikiri tarehe 5 Feb 1985), MWALIMU ALIZOMEWA UWANJA WA TAIFA.
Wakati ule hali ya kiuchumi ilikuwa mbaya, mbaya sana, kiasi kwamba huko Mtwara Waziri Mkuu ndg Salim Ahmed Salim alipotembelea vijijini alikuta wananchi wamevaa magunia.

Mwalimu alipoona hali hii, ikamjia akilini kwamba wakati wake umefikia kikomo.
Wanasiasa watambue mwisho wa political milage inapokoma.
 
Usisahau mwaka 2015 alilazimisha kumpitisha mgombea wake pendwa Membe lkn wazee na idara za usalama zikamuwekea ngumu na akachemka siasa za Kikwete zimebebwa na kinga ya udini na makundi ya kimafia yanayolinda ufisadi wake..
 
Mwaka huu tutasikia mengi. Mi sio CCM ila mingine kinehe.
 
NI udhaifu wa Ma-CCM wenyewe. Mbona CHADEMA waliweza kumpiga chini Mbowe!
 
Hili lipo Wazi kabisa!!
 
Huyu ndiye Mwasisi wa siasa za uchawa, kuteka na kuua
Alafu kazeeka balaa ,msimuone kwenye TV, sivyo alivyo ana pesa ila kachoka ,mambo ya Mungu haya , jk ni mkuu wa chuo cha Udsm , miaka 2 iliyopita nilimuona pale mlimani city akiwaapisha ,Dr's kutoka chuo cha udsm mbeya ,cuppas ya mbeya , nilikuepo maana mdogo wangu alihitim pale , nilivyomuona sio nimuonavyo kwenye matv kachoka sana ,sijui kwa sasa ,wenda ni balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…