Tahadhari: Mzee wa Msoga kuna siku utazomewa

Kama namuona akicheka kile kicheko chake anavyosoma hii thread..!! 😹
 
Kama kuzimewa amezoea,alishatupiwa mawe huko mbeya miaka hiyo
 

Hao wenye akili wameisaidia nn hii nchi mbona hatuoni tofauti ya maisha kwa wananchi wa kawaida toka awamu zote za utawala maisha yetu ni yaleyale hakuna kipindi yalikuwa na nafuu ya kuonekana lazima kila siku utoke asubuhi ukapambane jioni urudi angalau dagaa wachemke nyumbani tena afadhali kipindi cha hao unasema hawana akili kidogo pesa ilikuwa inapatikana hata kwa watu wa hali ya chini. Nchi hii hapewi tena mshamba kuiongoza itaongozwa na borntown
 
Tatizo ni kubadilisha rais muislamu kisha mkristo ....kama ingekuwa wakristo tu tungekuwa mbali sana huu ni ukweli anaye wezakukanushq ni mpumbavu na mnafiki tu
 
Inashangaza kwa umri wake na nyadhifa alizowahi kushika bado anaendekeze UHUNI wake.
 
JK hana tatizo lolote wananchi mazuzu mazuzu kama wafuasi wa Zumaridi maana Lissu yuko ndani siku 100 sasa zinaenda Lissu anachopigania reforms ambazo kuanzia mwenyeki wa Mtaa bila kujali chama gani zina muhusu wananchi kimya. Aya JK alivunja kanuni na taratibu za chama na Wote siku ile Lusinde anasema Mwenyekiti atoke nje kuna wajumbe walishangilia kwa shangwe na Vigelegele na Mwenyekiti kiti alivyosema sitoki Wajumbe walishangilia vile vile aya JK hana shida gani hapo?
 
Msiogope hana muda mrefu ndio maana anawapambania vijana wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…