February 11, 2019
Dar es Salaam, Tanzania
Pre match press conference, Al Ahly SC manager was asked if it will be possible to repeat the score margin Al Ahly managed to achieved in Alexandria, Egypt against Simba SC.
Kocha wa Al Ahly azungumzia swali la mwandishi kama Al Ahly SC inaweza kupata matokeo ya mjini Alexandria ikiwa jijini Dar es Salaam ktk mchezo wao na Simba SC. Kocha wa Al Ahly akasema matokeo ya mchezo wa kwanza ni yamepitwa na wakati hivyo wao kwa sasa watajitahidi kupata ushindi wa pointi nyingi. Pia kocha wa Al Ahly SC ameongeza kuwa wanaiheshimu timu ya Simba SC na hivyo anategemea mchezo utakuwa wa ushindani.
Source: Al Ahly SC