DOKEZO Tahadhari: Pesa bandia za Tsh. 5,000 na 1,000 zimezagaa mtaani, tuwe makini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Labda ukutane na mtu ambae hakamati hela mara kwa mara ndo utaweza kumpa hela fake na asijue,
ila kwa mtu ambae kila wakat yupo kweny biashara anashika hela na umpe hela fake asijue atakua ni uzembe wake.

Maybe umchanganyie kwenye kibunda na uchomekee 2 au 3 fake ndo hatoweza kugundua kwa haraka.
 
Mi dukani kwangu nimekuta vijana wamepokea elfu 10 mbili za bandia.
Ilinibidi niwape elimu ya hela bandia (kujua alama za fedha halali)

Ila kesho yake nakuta washazitumia kwengine..!!!
Kuwauliza wanajibu ""Hasara ya elfu 20 ni kubwa sanaa""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mi mwenyewe nilishangaa mwaka 2020 matatu number iko ndani pale mbele unalipa kwa M-pesa kama huna cash.
Kenya wapo mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…