DOKEZO Tahadhari: Pesa bandia za Tsh. 5,000 na 1,000 zimezagaa mtaani, tuwe makini

DOKEZO Tahadhari: Pesa bandia za Tsh. 5,000 na 1,000 zimezagaa mtaani, tuwe makini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna miamba hapahap bongo wanatengeneza pesa za bandia za kutosha toka 2013 mpaka leo na wanatembea karibu kila nchi za kiafrika na wanaukwasi hatari nilipewa ya siku moja hiyo pesa bandia asee mbona og ikasome
 
Back
Top Bottom