Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Ni hatari kubwa,mtu akifilisika fikra kichwani atapenda kupata madaraka kwa ukabila au udini au rangi.na kiongozi akipata madaraka kwa mkondo huu basi ajue anaandaa maangamizo mbele ya safari.
katika fix zote na stahili za kilaghai za JK..hii ni mbaya kuliko na ataangukia pua soon
Tutegemee mengi zaidi ya haya ,si motto wao ni USHINDI NI LAZIMA! so watafanya everything humanly and none humanly possible to win this election!
Hapo umesema kweli, za kupewa changanya na za kwako. kumbuka walipoulizwa mbona mlisema kuwa mtaanzisha mahakama ya kadhi, walijibu kuwa tulisema 'lipatiwa ufumbuzi na ufumbuzi ni kulipeleka serikalini'. Sijui serikali ipi maana wao ndo waliounda serikali hiyo. Walipoulizwa 'mbona mlisema mtaleta maisha bora kwa kila Mtanzania', walijibu; 'Yanapatikana kwa kufanya kazi'.hapo hakuwalaghai pengine alikuwa anawapima uelewa,
we ilikuingia akilini hiyo? yaani sawa na leo CCM iseme
itahakikisha kuwa wachungaji na mapadri kulipwa mishahara na serikali
eti nao wajue ni kweli, haiwezekani ati, hapo labda uniambie kuwa aliwatumia
kama ngazi ya kujipatia kura nyingi toka kwao, kwa kuwahidi jambo ambalo linawagusa
hapo ni sawa watanzania walivyoahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania nao wakapiga
makofi na kushangilia, kwani kuna mmoja aliwahi kujiuliza kuwa vipi haya yatakujaje?
ama kwa mikakati gani? wote wakashangilia tu na kukipa ushindi wa kishindo CCM
chama ambacho kimepitwa na wakati na sera zake.
Hii ni kawaida ya marais waislamu kuwa na ISLAMIC AGENDA vichwani mwao wanapoingia madarakani! Mzee Ruksa aliingia tu stop ya kwanza ni kuhusu OIC, tena kinyemela bila Bunge kujulishwa! Walimshtukia dakika za mwisho. Mzee Komandoo kule Visiwani, bila kujali Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasemaje akaiingiza Zanzibar OIC, walipomshtukia akaiondoa! JK wetu kaingia na Mahakama ya Kadhi, alipoulizwa karuka mita 100 kwamba ilani hakuandaa yeye! Hawa watu kama wanataka kuwa viongozi wa Waislamu si waende misikitini moja kwa moja, badala ya kuhadaa wananchi na kuwachanganya hatimaye kuchafua amani ya Tanzania ijayo?
anaahirisha suala hili kwa muda tu JK anachezea akili za wakristo baada ya kumchagua tu ataanzisha mchakato wa kuanzisha hiyo mahakama HARAMU ya waislamu na sio lazima iwe kwenye ilani....kuiondoa anawapumbaza wakristo tu....tuweni makini huu ni mchezo mchafu wa siasa....................Kuna tetesi kuwa hivi punde.....ATAKAA NA WAZEE WA KIISLAMU ATAWAPA MIKAKATI NA ATAWAELEZA KWA NINI KAFANYA HIVYO ATAKUNYWA NAO GHAHAWA NA KUCHEZA BAO KIDOGO alafu atawaagiza hao wazee wa mila za uislamu wawashushe presha waumini wao na kuwaeleza nia yake njema ya namna atakavyo tumia mamlaka yake kuchomeka....
HAYA MANENO NILIYOYAANDIKA MTAYAKUMBUKA