Nyerere alikuwa Mdini Mkubwa, Wakatoliki waliendesha nchi walivyotaka, Wakati wa Nyerere wakiristo walikuwa wanatumia pesa za Hazina kusherehekea X-Mass na sherehe nyingine za Kikristo, memorundums of understanding nyingi zilikuwepo wakati wa serikali ya Nyerere na wakiristo na ndio unaona wakiristo wanamzawadia Nyerere cheo cha utakatifu
Waislam walililalamikia hili kwa muda mrefulakini Nyerere kama kawaida yake haambiliki, Nawapongeza sana waislam kwa uvumilivu walio uonyesha wakati ule!!!
Ilani ya CCM kuhusu Kadhi Court na kujiunga na OIC, Iliandaliwa na wakiristo chini ya uongozi wa Benjamin Mkapa, kabla haijafahamika kama President anae kuja atakuwa Muislam Au Mkiristo. Kwa hiyo hata president ingetokea kuwa, John, Paul, Bendict, Piter, George who ever, angetakiwa atekeleze ile ilani iliyo andaliwa na walokole
Bro, pamoja na chuki zenu na uislam jaribuni kidogo kuwa fair vinginevyo mataonekana kama makafiri kunguwani, fee naari jahannam!!
Asanteni