Elections 2010 TAHADHARI: Serikali ya Kikwete inacheza na Imani za watu?

Nyerere alikuwa Mdini Mkubwa, Wakatoliki waliendesha nchi walivyotaka, Wakati wa Nyerere wakiristo walikuwa wanatumia pesa za Hazina kusherehekea X-Mass na sherehe nyingine za Kikristo, memorundums of understanding nyingi zilikuwepo wakati wa serikali ya Nyerere na wakiristo na ndio unaona wakiristo wanamzawadia Nyerere cheo cha utakatifu

Waislam walililalamikia hili kwa muda mrefulakini Nyerere kama kawaida yake haambiliki, Nawapongeza sana waislam kwa uvumilivu walio uonyesha wakati ule!!!

Ilani ya CCM kuhusu Kadhi Court na kujiunga na OIC, Iliandaliwa na wakiristo chini ya uongozi wa Benjamin Mkapa, kabla haijafahamika kama President anae kuja atakuwa Muislam Au Mkiristo. Kwa hiyo hata president ingetokea kuwa, John, Paul, Bendict, Piter, George who ever, angetakiwa atekeleze ile ilani iliyo andaliwa na walokole

Bro, pamoja na chuki zenu na uislam jaribuni kidogo kuwa fair vinginevyo mataonekana kama makafiri kunguwani, fee naari jahannam!!
Asanteni
 
Mkuu hii itakuwa kwa mjibu wa wewe
 
Mi nawashangaa wote mnao mlaumu raisi wetu hivi kipi kilicho kosewa,maana alishaweka mambo wazi kuwa ilani hakuiandaa yeye,pili kuanzishwa kwa mahakama ya kiislamu hilo ni swala la kiimani hivyo ni waislamu wenyewe waamue hata kesho kuanzisha,sasa huu mvutano unatoka wapi? hivi kwa nini watu wazima tusiwe na aibu hata kidogo? hivi kama mtu anatafuta ajira ni lazima serikalini? mi nasema hivi watakao leta chuki za kidini ni watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri pamoja na wanaotuma mada kama hizi.
 
Hawa ndo viongozi ambao hatuwataki kukimbia majukumu yake, mwenyewe ndo anapitisha yeye ndo mwenyekiti kwanini anakimbia matopeyake??? Ilani ameshiriki kuiandaa ndo mana 2005 alikuwa anainadi. KUNA SIKU ATAUZA NCHI WATANZANIA TUKIONA KWA MACHO YETU
 
Nyerere alikuwa Mdini Mkubwa, Wakatoliki waliendesha nchi walivyotaka, Wakati wa Nyerere wakiristo walikuwa wanatumia pesa za Hazina kusherehekea X-Mass na sherehe nyingine za Kikristo, memorundums of understanding nyingi zilikuwepo wakati wa serikali ya Nyerere na wakiristo na ndio unaona wakiristo wanamzawadia Nyerere cheo cha utakatifu

Waislam walililalamikia hili kwa muda mrefulakini Nyerere kama kawaida yake haambiliki, Nawapongeza sana waislam kwa uvumilivu walio uonyesha wakati ule!!!

Ilani ya CCM kuhusu Kadhi Court na kujiunga na OIC, Iliandaliwa na wakiristo chini ya uongozi wa Benjamin Mkapa, kabla haijafahamika kama President anae kuja atakuwa Muislam Au Mkiristo. Kwa hiyo hata president ingetokea kuwa, John, Paul, Bendict, Piter, George who ever, angetakiwa atekeleze ile ilani iliyo andaliwa na walokole

Bro, pamoja na chuki zenu na uislam jaribuni kidogo kuwa fair vinginevyo mataonekana kama makafiri kunguwani, fee naari jahannam!!
Asanteni

You must be sick in the head!
 
Mahakama ya kadhi ni kwa ajili ya waislam na haihusu watu wa dini nyingine. Sasa hapa sioni mantiki ya kutaka kuingiza kwenye serikali amabayo inajumuisha watu wa dini zote na wasiokuwa na dini. Yaani watu wasiokuwa waislamu hawawezi kukubali kodi zao zikatumika kwa shughuli isiyokuwa na tija kwao. Mahakama ya kadhi iendeshwe na waislamu wenyewe na si kulazimisha watu wasiokuwa waislam waichangie.

Tukishazoea hivyo kila dini (dhehebu) itakuja na mapendekezo yake, sasa si itakuwa vurugu????
 
WanaJF inabidi tukae tayari tujiandae nchi hii haitakuwa salama siku za mbeleni

Taasisi za kidini enzi za mwalimu zimekuwa kimya zikifanya mambo yake lakini baada ya kuingia utawala wa JK mambo yamekuwa tofauti. Mwaka 2005 Jk aliwalaghai waisalam kuwa ataanzisha mahakama ya Kadhi sasa hivi anakuja anasema hii kaiondoa kwenye Irani ya chama.

Serikali ya JK inafanya vibaya kuchanganya DINI na SIASA hii itasababisha vita siku za mbeleni.

JK kama huwezi kutekeleza unayosema kaa kimya nyoyo za watu zina HASIRA NA WEWE.

Je waisalamu wakiamua kupambana na Serikali nchi hii inaelekea wapi??

Kwanini JK anachezea imani za watu??

Acha unafiki na uzandiki...

Suala la mahakama ya Kadhi halikuwa la Kikwete na lilingizwa katika ILANI ya CCM chini ya Benjamin Mkapa baada ya kupata ripoti ya team ya wasaidizi wake aliyoiunda na kumkabidhi ripopti ambayo ilikubaliana na suala hilo. Benjamin Mkapa alikuwa tayari hata kuinstitute Kadhi Court wakatai wake lakini ni pressure ya WADINI kadhaa katika circle yake ambao walimtishia backlash ya baadhi ya asasi za kidini katika hilo. Ndipo akaamua suala hilo lipelekwa katika ILANI ya CCM kupata ridhaa ya wapiga kura. Kumbukeni ILANI ya CCM 2005 ilikuwa chini ya Benjamin Mkapa kama mwenyekiti wake na timu yake aliyoichagua hata kabla ya CCM kumteua Kikwete kugombea urais.

Hizi kampeni za kumsingizia Kikwete mdini mkitegemea zitamsaidia mgombea wenu zitaipeleka Tanzania pabaya lakini pia zitaathiri sana ukuaji wa chama chenu huko mbeleni.

Kumbukeni....Misingi haivunjwi, itakuvunja wewe...acheni siasa hovyohovyo hizi...
 
WanaJF inabidi tukae tayari tujiandae nchi hii haitakuwa salama siku za mbeleni

Taasisi za kidini enzi za mwalimu zimekuwa kimya zikifanya mambo yake lakini baada ya kuingia utawala wa JK mambo yamekuwa tofauti. Mwaka 2005 Jk aliwalaghai waisalam kuwa ataanzisha mahakama ya Kadhi sasa hivi anakuja anasema hii kaiondoa kwenye Irani ya chama.

Serikali ya JK inafanya vibaya kuchanganya DINI na SIASA hii itasababisha vita siku za mbeleni.

JK kama huwezi kutekeleza unayosema kaa kimya nyoyo za watu zina HASIRA NA WEWE.

Je waisalamu wakiamua kupambana na Serikali nchi hii inaelekea wapi??

Kwanini JK anachezea imani za watu??

Una homa ya uchaguzi,,,,nenda kalale upumzishe kichwa chako
 
Pamoja na madhara ya ukimwi kuanikwa wazi kila kukicha lakini bado watu hawakomi kufanya ngono zembe.
So as siasa za TAnzania na watanzania, bado walio wengi wanatamani kuendelea kukumbatia godoro lenye upupu (CCM) ni kumuenzi baba wa Taifa
 
Weee! acha kabisa.....JK hawezi gusa huko kwenye awamu yake ya pili. Msanii tu huyu, akimaliza awamu yake ya pili atatimukia zake kwa akina BOYS II MEN...kuku kwa sana. Nani kakuambia JK muislamu? Kazailiwa tu uislamuni....lakini si muislamu.

Hahahahahhah! haya mkuu! anywaya ngoja namimi nirudi kwenye maana. JKI kasoma seminary kwa hiyo inawezekana kapewa hadi kipaimara. Mwenye data kamili jamani atupe.
 
WanaJF inabidi tukae tayari tujiandae nchi hii haitakuwa salama siku za mbeleni

Taasisi za kidini enzi za mwalimu zimekuwa kimya zikifanya mambo yake lakini baada ya kuingia utawala wa JK mambo yamekuwa tofauti. Mwaka 2005 Jk aliwalaghai waisalam kuwa ataanzisha mahakama ya Kadhi sasa hivi anakuja anasema hii kaiondoa kwenye Irani ya chama.

Serikali ya JK inafanya vibaya kuchanganya DINI na SIASA hii itasababisha vita siku za mbeleni.

JK kama huwezi kutekeleza unayosema kaa kimya nyoyo za watu zina HASIRA NA WEWE.

Je waisalamu wakiamua kupambana na Serikali nchi hii inaelekea wapi??

Kwanini JK anachezea imani za watu??

Wanajamii hapa inabidi tuchanganye na za kwetu kama the JK alivyosema ...
 
Back
Top Bottom