Si useme kama ni wewe ndo ulienda hiyo guesti.
By the way siyo poa kuharibia wenzio biashara..
Hahahaha.
duh, mjini kuna kazi. Haya bwana, kile cha mwisho kulia walishaweka loki ya mlango?
bila shaka huko ni mbagala kilungule
hehe umejuaje kamanda ila wambie ndugu zako ipo ssiku wataikanyaga
Haya mashabiki wa Manchester yenu hayo. Bila shaka cha Van P. kitakuwa bado hakijatobolewa si ni kipya sanaa! kazi kwenu
sio kumwaribia bishara yeye ndo anaharibu biashara huwezi toboa dirisha kwa ajili yakuwachungulia watu bana na mm sijakuambia usiende nimekuambia ukipewa chumba cha bekham nomber 7 usikubali kwani utasanifika mbaya na dem wako na istoshe hizo ishu za chabo ziko sehemu nyingi sana na wanaofanya hivyo wale wahudumu wakishirikiana na walinzi wa geast husika tena kwa malipo
King'asti umetisha..yaani unaijua hadi kitasa kilivyokuwa kibovu?Hahahaha...duh, mjini kuna kazi. Haya bwana, kile cha mwisho kulia walishaweka loki ya mlango?
kitanda kimevunjika chaga na zile ndala ya miguu tofauti wameziiba juzi
Haya mashabiki wa Manchester yenu hayo. Bila shaka cha Van P. kitakuwa bado hakijatobolewa si ni kipya sanaa! kazi kwenu
kitanda kimevunjika chaga na zile ndala ya miguu tofauti wameziiba juzi
King'asti umetisha..yaani unaijua hadi kitasa kilivyokuwa kibovu?
Huyu naye kumbe alishafika na ndala za rangi tofauti hakuzikuta..hahahaha
Lol!..Kumbe sio chumba cha Beckam tu kimeanzishwa na kingine cha RVP kipo!!!
mpe pole sana, guest za vichochoroni zina shida yake sana.Kwa wale wakazi wa mbagala manaopenda kuingia kwenye magest kuna gest moja kwa jina manchester ukifika hapo kama ukisikia mpe chumba cha BEKHAM usikubali kwani hicho chumba ni maarufu kwa kipiga chabo saaana na watu wanalipia kila chabo buku kuna jamaa yangu yamemtokea huko na kilichomfanya astuke ni mijamaa kuanza kuguna wakati jamaa anashulika na mambo yake
Si useme kama ni wewe ndo ulienda hiyo guesti.
By the way siyo poa kuharibia wenzio biashara..
bila shaka ww ndo CEO wa hyo gest uchwala.
Haaaaaaaaa........ We we we weeeeeee Atiiiiii....................!!!!Hahahaha.
duh, mjini kuna kazi. Haya bwana, kile cha mwisho kulia walishaweka loki ya mlango?