Tahadhari! Tahadhari!

Tahadhari! Tahadhari!

sony wega

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
234
Reaction score
35
Kwa wale wakazi wa mbagala manaopenda kuingia kwenye magest kuna gest moja kwa jina manchester ukifika hapo kama ukisikia mpe chumba cha BEKHAM usikubali kwani hicho chumba ni maarufu kwa kipiga chabo saaana na watu wanalipia kila chabo buku kuna jamaa yangu yamemtokea huko na kilichomfanya astuke ni mijamaa kuanza kuguna wakati jamaa anashulika na mambo yake
 
Si useme kama ni wewe ndo ulienda hiyo guesti.
By the way siyo poa kuharibia wenzio biashara..
 
Hahahaha.
duh, mjini kuna kazi. Haya bwana, kile cha mwisho kulia walishaweka loki ya mlango?
 
sio kumwaribia bishara yeye ndo anaharibu biashara huwezi toboa dirisha kwa ajili yakuwachungulia watu bana na mm sijakuambia usiende nimekuambia ukipewa chumba cha bekham nomber 7 usikubali kwani utasanifika mbaya na dem wako na istoshe hizo ishu za chabo ziko sehemu nyingi sana na wanaofanya hivyo wale wahudumu wakishirikiana na walinzi wa geast husika tena kwa malipo
 
Mi nilidhani BECKAM ni upande wa kambi ya jeshi unaogopa mabomu kumbe kupigwa chabo.
 
Haya mashabiki wa Manchester yenu hayo. Bila shaka cha Van P. kitakuwa bado hakijatobolewa si ni kipya sanaa! kazi kwenu
 
sio kumwaribia bishara yeye ndo anaharibu biashara huwezi toboa dirisha kwa ajili yakuwachungulia watu bana na mm sijakuambia usiende nimekuambia ukipewa chumba cha bekham nomber 7 usikubali kwani utasanifika mbaya na dem wako na istoshe hizo ishu za chabo ziko sehemu nyingi sana na wanaofanya hivyo wale wahudumu wakishirikiana na walinzi wa geast husika tena kwa malipo

Pole kwao wanaotumia hizo maguest house..
 
Hahahaha...duh, mjini kuna kazi. Haya bwana, kile cha mwisho kulia walishaweka loki ya mlango?
King'asti umetisha..yaani unaijua hadi kitasa kilivyokuwa kibovu?

kitanda kimevunjika chaga na zile ndala ya miguu tofauti wameziiba juzi

Huyu naye kumbe alishafika na ndala za rangi tofauti hakuzikuta..hahahaha

Haya mashabiki wa Manchester yenu hayo. Bila shaka cha Van P. kitakuwa bado hakijatobolewa si ni kipya sanaa! kazi kwenu

Lol!..Kumbe sio chumba cha Beckam tu kimeanzishwa na kingine cha RVP kipo!!!
 
Last edited by a moderator:
kitanda kimevunjika chaga na zile ndala ya miguu tofauti wameziiba juzi

Ndala tunapewa sie ma-alwatan tu. ukifika muulizie maimuna kwanza, watajua wewe mwenyeji.

King'asti umetisha..yaani unaijua hadi kitasa kilivyokuwa kibovu?

Huyu naye kumbe alishafika na ndala za rangi tofauti hakuzikuta..hahahaha

Lol!..Kumbe sio chumba cha Beckam tu kimeanzishwa na kingine cha RVP kipo!!!

Lazma ujue chobingo. Afu umuambie bibie abebe khanga yakuweka dirishani manake kipazia hakienei. Dhambi zimepanda bei balaa!
 
ila jamani chabo raha???

Hasa wakikuruhusu kupanda kwenye ceiling board, dirishani tatizo mbu afu na kufumba jicho moja.

Waturuhusu tu kuingia na miwani ya 3D.
 
Kwa wale wakazi wa mbagala manaopenda kuingia kwenye magest kuna gest moja kwa jina manchester ukifika hapo kama ukisikia mpe chumba cha BEKHAM usikubali kwani hicho chumba ni maarufu kwa kipiga chabo saaana na watu wanalipia kila chabo buku kuna jamaa yangu yamemtokea huko na kilichomfanya astuke ni mijamaa kuanza kuguna wakati jamaa anashulika na mambo yake
mpe pole sana, guest za vichochoroni zina shida yake sana.
vya rahisi vina garama
 
bila shaka ww ndo CEO wa hyo gest uchwala.

Umejuaje mkuu?? Ni lazima nitetee unga..Tukikosa wateja unafikiri itakuwaje?
Any way ntawaambia wahudumu waache kuuza mechi za watu nje.
 
Hahahaha.
duh, mjini kuna kazi. Haya bwana, kile cha mwisho kulia walishaweka loki ya mlango?
Haaaaaaaaa........ We we we weeeeeee Atiiiiii....................!!!!
Kumbe mpaka Mbagala wapajua weye, mai weeeeeeee.............................!
Hivi nitapata arubaki yangu ya mahari kweli?
 
Back
Top Bottom