Leo 29 October inaelekea ukingoni na hakuna dalili ya mvua bado, jua kali linarindima kama kawaida...Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023.
Nilishasema atakaye waamini hawa ni sawa na kichaaLeo 29 October inaelekea ukingoni na hakuna dalili ya mvua bado, jua linarindima kama kawaida
Ukiona hapo kwenye utabiri wa Weather wanasema Kunyesha ni 0%Kila Siku nasema HWa watu mimi kuwaamini Ni mpkaa siku wakisema Utabiri wa kweli...
Hapa nimewasha Feni kila sehemu nimelala uchi kwenye balcon lakini wapi ...
Kwani hawa wanazungumzia MIKOA IPI
View attachment 2796849
View attachment 2796851
sasa hivi ni saa 11 jioni hakuna mvua..........waongo wakubwa wahediKama mujibu wa taarifa hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa, wakazi wa maeneo tajwa wachukue tahadhari kwasababu Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023.
TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke kukaa maeneo yenye msongamano wa Watu, pia, wahifadhi mahitaji muhimu ndani.
Awali, TMA ulitabiri kuwa Tanzania inatarajia kukumbwa na Mvua za El Nino kuanzia Oktoba ambapo tayari Mikoa ya Tanga, Pemba na Unguja imeripotiwa kupata Mvua zinazozidi Milimita 50.
Me najua mvua itanyesha tena kubwa tuHata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli. Ole wenu mpingao taarifa ya mamlaka
[emoji375][emoji375][emoji375]Hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli. Ole wenu mpingao taarifa ya mamlaka
Leo siku Ya pili Bado hali ni kavu badu siku mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me najua mvua itanyesha tena kubwa tu
Upo dar ipi maana leo asubuhi mvua imenyesha kubwa sana kuna watu watalala njeLeo siku Ya pili Bado hali ni kavu badu siku mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hicho kijimvua cha Kutoa Vumbi ndo unaita Mvua kubwa sana....Upo dar ipi maana leo asubuhi mvua imenyesha kubwa sana kuna watu watalala nje