Yeah, ni kweli maana wizara ya afya sijapata kusikia imetoa tahadhari gani kukabiliana na ugonjwa huu unaoathiri watu masikini.ujue nipo kwenye mwendo kasi, yaani hapa na hizi habari zako ndo zimnivuruga sababu mbele yangu kuna lijamaa lina mafua hadi hali ya hewa imebadilika,
ndui si ile inachomwa begani na kuacha kovu la maisha au?Huu ugonjwa ni ndui, ugonjwa mbaya sana ambao ulisumbua sana dunia kwa maelfu ya miaka mpaka kuitwa "The Black Death".Kuna kipindi mtu mmoja katiya wanne wa Ulaya walifariki kwa ugonjwa huu.
Bahati nzuri watu waliopata chanjo ya ndui hawawezi kupata ugonjwa huu (strains may vary)
https://www.economist.com/blogs/graphicdetail/2017/07/daily-chart-1
Moja ya chanjo za begani ndiyo hiyo, kama ulipata hiyo chanjo ugonjwa huu si rahisi kukupata, kwa sababu mwili wako unakuwa ushatengeneza kinga ya asili kukabiliana na ugonjwa huu.ndui si ile inachomwa begani na kuacha kovu la maisha au?
Anayategemea mno mabunduki ndio maana biological warfare inapaswa kumswipe on our behalf.hee, yaani afe kabisakabisa?
Daaaah! Kumbe black death au bubonic plague ndo ndui.Huu ugonjwa ni ndui, ugonjwa mbaya sana ambao ulisumbua sana dunia kwa maelfu ya miaka mpaka kuitwa "The Black Death".Kuna kipindi mtu mmoja katiya wanne wa Ulaya walifariki kwa ugonjwa huu.
Bahati nzuri watu waliopata chanjo ya ndui hawawezi kupata ugonjwa huu (strains may vary)
https://www.economist.com/blogs/graphicdetail/2017/07/daily-chart-1
Ndiyo hiyo.Daaaah! Kumbe black death au bubonic plague ndo ndui.
Nilikua sijui asee big up kwa kunifungua macho mkuu.
Uzuri ukishakuwa na chanjo in theory huwezi hata kuipata kabisa.Al-Watan nimepitia hiyo article ya The Economist, at least nimeshusha pressure baada ya kukuta kwamba inaweza kutibika
umesema ukweli kabisa, Nyerere alifanya kitu katika mambo ya afya na elimu umenikumbusha usafiri bure, madaftari bure n.k.Ndiyo hiyo.
Baba Nyerere muhifadhi wetu tutamsema kwa mengi mabaya aliyoyafanya, ni haki yetu.
Lakini vitu vya msingi kamahivi aliviweka sawa enzi zile mara nyngine kuliko hata serikali zetu za sasa hizi.
Nachelea kunaweza kuwepo watu wengi wanaozaliwa miaka hii ya karibuni hawapati hizi chanjo ambazo zamani karibu kila mtu alipata.
hahahaha, jf bana daah, nimecheka kwa nguvu mpaka wenzangu wamestukaDuh, sasa watu watakaowasili kutoka Madagascar sijui itabidi wachomwe moto!!!
Sorry, ndui ni Smallpox, bubonic plague ni nyingine.Daaaah! Kumbe black death au bubonic plague ndo ndui.
Nilikua sijui asee big up kwa kunifungua macho mkuu.
Sio ndui ni tauniDaaaah! Kumbe black death au bubonic plague ndo ndui.
Nilikua sijui asee big up kwa kunifungua macho mkuu.
Si ndui ni tauni nadhaniHuu ugonjwa ni ndui, ugonjwa mbaya sana ambao ulisumbua sana dunia kwa maelfu ya miaka mpaka kuitwa "The Black Death".Kuna kipindi mtu mmoja katiya wanne wa Ulaya walifariki kwa ugonjwa huu.
Bahati nzuri watu waliopata chanjo ya ndui hawawezi kupata ugonjwa huu (strains may vary)
https://www.economist.com/blogs/graphicdetail/2017/07/daily-chart-1