Tahadhari: Ugonjwa wa Mlipuko Huu unasumbua Madagascar

Hakuna. Serikali wala sehemu binafsi.
Tiba yake ni cheap ila ndo kuwahi kutibiwa.
Halafu hata kama tiba cheap, tatizo magonjwa haya yanasambaa kirahisi na mlipuko ukishaanza kuudhibiti kazi sana,hapo ndipo unapokuja umuhimu wa chanjo.
 
Ndiyo hiyo.

Baba Nyerere muhifadhi wetu tutamsema kwa mengi mabaya aliyoyafanya, ni haki yetu.

Lakini vitu vya msingi kama hivi aliviweka sawa enzi zile mara nyngine kuliko hata serikali zetu za sasa hizi.

Nachelea kunaweza kuwepo watu wengi wanaozaliwa miaka hii ya karibuni hawapati hizi chanjo ambazo zamani karibu kila mtu alipata.
Mkuu hii bubonic plague nafikiri ni tofauti kidogo na ndui. Plague yenyewe ina sababishwa na bacteria waitwao yersinia pestis hawa ni gram negative bacteria au jina lingine ni safe pin hawa vector wake ni panya black rats. Ugonjwa huu uliuwa 3/4 ya population ya dunia kipindi icho.

hugonjwa huu uleta dalili kama za pneumoniae mgonjwa hushindwa vuta pumzi na kufa ndani ya mda mchache.

Lab: diagnosis makohoz( sputum) hupimwa kwa method itwayo wayson stay ili kuweza kuwa detect hao bacteria.

NOTE: panya ni ha ambukizi ugonjwa bali kuna viroboto vilivyo mwilini mwake ambavyo ndivyo u hambukiza ugonjwa.

chukulia kama sehemu yaku jifunza na siyo ku kosoa. Karibu.
 
Nimeeleza post #18

Asante kwa maelezo zaidi.
 
Halafu hata kama tiba cheap, tatizo magonjwa haya yanasambaa kirahisi na mlipuko ukishaanza kuudhibiti kazi sana,hapo ndipo unapokuja umuhimu wa chanjo.
Ni kweli lakini kwenye nchi zetu hizi ni changamoto kama chanjo ni ghali.
Na hata sasa serikali imepitisha chanjo za maradhi aina mbili ila bado hazipo kwenye mpango wa taifa wa chanjo. Ni sehemu chache tu unaweza pata hizo chanjo. Tatizo pesa
 
Moja ya chanjo za begani ndiyo hiyo, kama ulipata hiyo chanjo ugonjwa huu si rahisi kukupata, kwa sababu mwili wako unakuwa ushatengeneza kinga ya asili kukabiliana na ugonjwa huu.

Huko Madagascar inaonekana watu hawakupata hizi chanjo.

Ubaya ni kwamba ugonjwa huu ulionekana kama umetokomezwa kabisa kiasi watu wengine waliacha kupata hii chanjo na wanaweza kuupata.

Noma kichizi,halafu katikaehemu ambazonilikuwa natakakwenda kutalii Madagascar ni mojawapo. Ina wanyama na mimea ya pekee duniani.

Itabidi nisubiri upepo huu upite kwanza.

Mkuu hiyo sindano ya ndui ntaipataje?
 
saw saw saf sana,nimependa ufafanuzi wako makin
 
Back
Top Bottom