Tahadhari: Veronica Anthony na Anthony Wilium Lwitiko; Matapeli wakubwa katika Forex

wajinga na wenye tamaa ni shamba la wajanja
 
Jambo zuri kuhusu hawa watu mpaka sasa shauri Leo limefunguliwa huko mbeya..na jambo zuri zaidi afande sirro ameshapata taarifa baada ya kupigiwa simu jana usiku na ametoa ushirikiano mzuri mpaka sasa.
Kupitia ocd wa mbeya tayari vipo vielelezo vinavyowahusu watuhumiwa.tuendelee kuvuta subira mwisho wao unahesabika
 


Maelezo ya veronica anthoni na picha ya anthoni wiliam lwitiko.
 
Bahati mbaya unanichukulia juu juu..WaPo watu unakuta mtu mmoja ameinvest more than 3mil.Ana groups 3 na zote zina member 180+
Kuna kuinvest sasa hapo?? Hapo sema tu kaweka hela. Investment huna hata document au property utasema umeinvest kweli?
 
Kuna kuinvest sasa hapo?? Hapo sema tu kaweka hela. Investment huna hata document au property utasema umeinvest kweli?
Yeas tuseme ni kuweka hela tu..hawa watu wamekusanya pesa kuanzia tarehe 30/9-9/10 hawajalipa na hawaonekani tena ktk group walizofungua whatsap.
 
Milion 300 ni uongoooo wa kiwango cha makinikia
 
WAJINGA NDIO WALIWAO


* nitakula pesa ninayoitafuta kwa akili zangu SIO akili ya kidume mwingine tena yupo nyuma ya keyboards*.

......heeeeeee...,. Huo Uzi wenu sijawahi hata kuusoma ,,nausikia tuuuu Forex Mara Bitcoin zinauzwa !! Teheeeee.
Mkuu,
Ontario akikusikia atakushtaki kuwa makini una muharibia biashara yake. [emoji1] [emoji1]
 
Haya polepole mrejesho wa utaleli umishaanza tutasikia mengi.
[emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
Kwani huku tumia hiyo forex wakati bwana Ontario anafundisha na kuwahamasisha vijana wa kitanzania.....
 
yani kwa hali ya sasa, kuna mtu atakuambia umpatie hela bila ya kumfahamu!
 
Mkuu unajua unachokisema kuhusu ONTARIO? Unamfahamu vizuri? Usichafue majina ya watu kwa kitu usichokijua.
Huyo Ontanario wa ukweli mtapataje mawasiliano nae kama unayo mtumie 0713721317
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…