Tahadhari: Veronica Anthony na Anthony Wilium Lwitiko; Matapeli wakubwa katika Forex

Hii FOREX kuna siku vyombo vya usalama vinavyohusika vitaisambaratisha tu, vijana wetu wametumbukia kwenye shimo, hawajuwi watatokaje, hela zao na labda za wazazi, ndugu na marafiki zimeliwa huko, wale walioumia kuna siku tu watakubali na kuibuka kutangaza maumivu na kuvunja ukimya wa wengi, "DECI" in making, lazima kutatokea watu kukamatwa na kushitakiwa, ebu subiri tuone, taratibu victims and vulnerables wanajitokeza, "get rich quick schemes" huwa hazina maisha marefu, tumeshuhudia kuanzia "Ponzi" "DECI" na utapeli mwingineo...Their days are numbered..
 
Wewe ni mshenzi na mpumbavu Wa kiwango cha reli ya Standard Gauge, unaanzaje kufananisha Deci na Forex !!!! Vitu kama hujui uwe unauliza Mkuu acha kushadadia mambo
 
Unahusika nini wewe mshenzi na mpumbavu?! Maana wanaouhisika wana tabia ya kushambulia watu wanaopinga hii FOREX kwa nguvu zote, hapo ndipo maswali yanapotupata raia, lazima kuna kitu hapo, haiwezekana mkawa mnatukana watu na kuwashambulia kihivyo...
 
FOREX HAINA SHORTCUT MKUU IKIONA JINA LA FOREX ALAF KUNA SHORTCUT UJUE UMELIWA, REAL FOREX HAINA SHORTCUT

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Wapenda slope (kitonga)...acha wapigwe tu nami nasema wapigwe tu mana hakuna namna
 
ha ha ha ha ha ila watu makatili sana yani mtu masikini bado unaenda kumpiga vijisenti vyake
 
Hii FOREX kuna siku vyombo vya usalama vinavyohusika vitaisambaratisha tu, vijana wetu wametumbukia kwenye shimo, hawajuwi watatokaje, hela zao na labda za wazazi, ndugu na marafiki zimeliwa huko, wale walioumia kuna siku tu watakubali na kuibuka kutangaza maumivu na kuvunja ukimya wa wengi, "DECI" in making, lazima kutatokea watu kukamatwa na kushitakiwa, ebu subiri tuone, taratibu victims and vulnerables wanajitokeza, "get rich quick schemes" huwa hazina maisha marefu, tumeshuhudia kuanzia "Ponzi" "DECI" na utapeli mwingineo...Their days are numbered..
Mkulu kila siku anahimiza Vijana kufanya kazi. Wanao penda kutusua bila kufanya kazi hayo ndo matokeo.
 
hahahaahahahaha,hii ya forex,vijana wa chuo wameivamia vzr ,Bongo nyoso wasomi wao na FOREX ,sie wa uswazi tutacheza na Betting mixer Tatu Mzuka
 
Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only.

Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk.

Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana kwa jina la veronica Anthony. .na kijana mmoja ambae anajitambulisha kama mdogo wake veronica.Anthony wiliam lwitiko.huyu kwa uchunguzi ni mwanafunzi wa UDOM yupo pale natural mathematics and science. Mpaka sasa wameshawaliza watu zaidi ya tsh mil 300 na bado wanaendeleza utapeli huo.

Ndugu zangu kuweni makini na link mbalimbali zinazokuambia jiunge group fulani uanze na mtaji mdogo wa 20000 tu eti utajipatia mpaka 25ml kwa muda mfupi.uongo uliokithiri huo....

Nimeona tushirikishane maana hawa jamaa mpaka sasa ni wanted lkn bado wanaendeleza utapeli huo kila kona.
mbona uzi umekaa kimajungu majungu kuleta mada bila ushahidi wa kutosha hizo ni fitna mleta mada ukiambiwa ulete ushahidi unao ?? maana m300 si kesi ndogo vinginevo ni kupikia watu majungu na wivu wa kike
 
Mkulu kila siku anahimiza Vijana kufanya kazi. Wanao penda kutusua bila kufanya kazi hayo ndo matokeo.
Na "Sharks" wapo wanawasubiria kwa hamu, hujakaa sawa mtu kurudi kwenye akili timamu ushaliwa vyote...
 
Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only.

Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk.

Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana kwa jina la veronica Anthony. .na kijana mmoja ambae anajitambulisha kama mdogo wake veronica.Anthony wiliam lwitiko.huyu kwa uchunguzi ni mwanafunzi wa UDOM yupo pale natural mathematics and science. Mpaka sasa wameshawaliza watu zaidi ya tsh mil 300 na bado wanaendeleza utapeli huo.

Ndugu zangu kuweni makini na link mbalimbali zinazokuambia jiunge group fulani uanze na mtaji mdogo wa 20000 tu eti utajipatia mpaka 25ml kwa muda mfupi.uongo uliokithiri huo....

Nimeona tushirikishane maana hawa jamaa mpaka sasa ni wanted lkn bado wanaendeleza utapeli huo kila kona.

Ngoja nirudie tena kusoma naona kama sielewi vile...
 
mbona uzi umekaa kimajungu majungu kuleta mada bila ushahidi wa kutosha hizo ni fitna mleta mada ukiambiwa ulete ushahidi unao ?? maana m300 si kesi ndogo vinginevo ni kupikia watu majungu na wivu wa kike
Hauna jema wewe
 
Mkulu kila siku anahimiza Vijana kufanya kazi. Wanao penda kutusua bila kufanya kazi hayo ndo matokeo.

"Labour is a person's conscious, purpose oriented activity,connected directly or indirectly with the production of material goods,his expenditure of physical,nervous and mental energy for productive purposes"
kwa mujibu wa hayo maelezo kazi so lazima iwe ya kutumia nguvu za mwili pekee,Bali pia unaweza tumia mental energy for productive purposes.

Na unaweza kuta yule anaetumia maguvu hapati sana kama yule anayetumia akili.
 
Back
Top Bottom